Sunday, July 27, 2014

SHINDANO LA VODACOM DANCE 100 LAPAMBA MOTO LASHIKA KASI JIJINI DAR

Kikundi cha Quality Boys kutoka Kinondoni jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kudansi wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka wilaya ya Kinondoni.
Kikundi cha Wakali Dance kutoka Bugurunii jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kucheza wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Kikundi cha Worries cha Kimara jijini Dar es salaam, wakitoa burudani kali wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.
Kundi la Take over kutoka Mabibo jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni
Vijana wanaounda Kundi la Mob Squad Kutoka Wilaya ya Temeke wakionyesha umahiri wao katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika shindano la Dance miamia ,liloandaliwa na East Africa TV chini ya udhamini wa Vodacom Tanzania.
Vijana wa kundi la chapambana Fasaha kutoka ukonga wakionyesha umahiri wao katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika shindano la Dance miamia ,liloandaliwa na East Africa TV na kudhamini wa Vodacom Tanzania.
Kikundi cha Wakali Sisi kutoka Kinondoni wakionyesha umahiri wao katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam,katika shindano la Dance miamia ,liloandaliwa na East Africa TV na kudhamini wa Vodacom Tanzania.
Kikundi cha Worries cha Kimara jijini Dar es salaam, wakitoa burudani murua wakati wa shindano la Dance miamia lililofanyika katika Viwanja vya Don Bosco Oysterbay na kudhaminiwa na Vodacom Tanzani.Shindano hilo lilishirikisha makundi 18 kutoka katika wilaya ya Kinondoni,kikundi kitakachoshinda katika shindano hilo kitajinyakulia kitita cha shilingi milioni 5.

No comments:

Post a Comment