Thursday, June 5, 2014

Vurugu kubwa zatokea katika ugawaji wa vitalu vya biashara katika kituo kipya cha makumbusho


Misululu mikubwa wafanyabishara waliokuwa mwenge wakisubiri kupewa vitalu vya kufanyia biashara hapa kituo cha makumbusho muda huu
Kila mtu anasubiri kwa hamu kupata nafasi ya biashara hapa kituo kipya cha mabasi makumbusho
wengine wakiwa hawajui hatima yao katika uagwaji wa vitalu vya  biashara hapa katika kituo cha daladala makumbusho
misululu ni mirefu kwa wafanyabiashara hawa waliokuwa ktuo cha mwenge wakisubiri kupata nafasi za kufanyia biashara katika kituo kipya cha hapa makumbusho
PICHA ZOTE NA FRANCO  SINGAILE WA MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG

No comments:

Post a Comment