Monday, June 9, 2014

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WATEMBELEA VYANZO VYA MAJI VYA MUWSA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja (mwenye suti)akiwaongoza madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi kutembelea vyanzo vya maji vinavyosimamiwa na mamlaka hiyo.
Madiwani Manispaa ya Moshi wakielekea kwenye vyanzo vya maji.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja(aliyenyoosha mkono)akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing.
Chanzo cha Maji cha Cofee Curing.
Diwani wa kata ya Miembeni katika Manispaa ya Moshi,Bw Mbonea Mshana akiuliza jambo wakati walipotembelea chanzo cha Maji cha Cofee Curing.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemejaakitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea Tanki la maji la Kilimanjaro kujionea uchumbaji wa kisima kipya cha maji kitakachosaidia kuongeza kiasi cha ujazo katika tanki hilo.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea Tanki la maji la CCP  kujionea uchumbaji wa kisima kipya cha maji kitakachosaidia kuongeza kiasi cha ujazo katika tanki hilo.
Meneja Ufundi wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi(MUWSA)Mhandisi Patrick Kibasa akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea matanki ya kuhifadhi maji ya CCP.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongoza madiwani wakitoka kutembelea matanki ya maji ya CCP ambako kumechimbwa pia kisima kipya kwa ajili ya kuongeza uzalishaji wa maji.
Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto Karanga,chanzo hiki chenye Chemichemi kimeibuliwa hivi karibuni na MUWSA  ili kujiongezea upatikanaji wa maji ya kutosha kwa wakazi wa Mji wa Moshi.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea chanzo kipya cha  Maji kilichopo kando ya Mto Karanga.
Mafundi wa MUWSA wakiendelea na shughuli  ya uunganishaji wa bomba kwa ajili ya kupitishia maji katika Chanzo kipya cha maji kilichopo kando ya Mto Karanga.
Chanzo cha Maji cha Shiri.
Madiwani wakitizama Chanzo cha Maji cha Shiri ambacho kwa sasa maji yake yameongezeka ujazo.

Chanzo cha maj cha Shiri.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea Chanzo cha Maji cha Kisima cha Kaloleni .
 Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akiongoza Madiwani kutembelea Mabwawa ya kuhifadhia Maji taka eneo la Mabogini .
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,(MUWSA) Mhandisi Cyprian Luhemeja akitoa maelezo kwa Madiwani walipotembelea Mabwawa ya Maji taka yaliyopo eneo la Mabogini.
Madiwani wakitizama sehemu ya mwisho ya mzunguko wa Maji taka ambayo hutoka kwenda kutumiwa na wakulima wa Mpunga na ufugaji wa Samaki aina ya Kambare.
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment