Friday, June 20, 2014

JAJI MKUU AWATUNUKU VYETI MAWAKILI WAPYA JIJINI DAR LEO

 Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande (katikati) akiwaongoza majaji mbali mbali wakati wa Sherehe ya 50 ya kuanzia mwaka 1986 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karimjee,Jijini Dar es Salaam
 Jaji Mkuu wa Tanzania,Mh. Othman Chande akiwatunuku vyeti baadhi ya Mawakili wapya waliokubaliwa na kusajiliwa leo kwenye viwanja vya Katimjee,Jijini Dar es Salaam.


















No comments:

Post a Comment