Wednesday, May 28, 2014

WAJUMBE WA SEMINA YA 25 YA CPA WATEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII MJINI BAGAMOYO

Mjumbe wa wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) ambaye pia ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishia Mhe. Zahara Ali Hama akichota maji kutoka kisima cha kale cha maajabu kwenye msikiti wa Kale wa Kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakitembelea makabuli ya kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakitembea mbele ya makabuli ya kaole wakati wa ziara ya kutembelea vivutia vya utalii, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakifurahia maji ya madafu wakati wa ziara ya kutembelea vivutio vya utalii maeneo ya Kaole, Mamba Lunch, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Mamba wenye umri kati ya miaka 15 hadoi 18 wakiwa wamepumzika katika maji eneo la Mamba Lunch, Mjini Bagamoyo Pwani, ambapo wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) walitembelea eneo hilo jana.
Muongoza watalii katika mji wa Bagamoyo “Profesa” Samahani Kejeli akitoa maelezo kwa Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) kuhusu biashara ya Watumwa kwenye Ngome ya Wajurumani walipokuwa wakitunzwa watumwa mjini Bagamoyo jana.
Wabunge wanaoshiriki Semina ya 25 ya Wabunge kutoka Mabunge wananchama wa Jumuiya ya Madola (CPA) wakifurahia maji ya madafu wakati wa ziara ya kutembelea vivutio vya utalii maeneo ya Kaole, Mamba Lunch, Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.

No comments:

Post a Comment