Sunday, May 4, 2014

MKUTANO WA SIKU MBILI KWA WANAHABARI WAMALIZIKA JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa MISA-Tanzania ,Mohamed Tibanyendera akizungumza wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu hotuba zilizokuwa zikitolewa wakati wa mkutano huo.
Washiriki wa mkutano huo walipata wasaa wa kusimama kwa muda kuwakumbuka waandishi wa habari waliopoteza maisha wakati wakiwa katika shughuli za kutekeleza majukumu yao.
Kaimu mwakilishi mkazi wa UNESCO-Tanzani Abdoul Wahab Coulibaly akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Meneja utafiti na machapisho wa Baraza la Habari nchini (MCT)John Mirenyi akizungumza kwa niaba ya katibu mkuu wa MCT wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi wa TMF ,Ernest Sungura akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Rais wa Muungano wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzani ,UTPC ,Kenneth Simbaya akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Tanzania,TEF,Absalomu Kibanda akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mkurugenzi mtendaji wa chama cha waandishi wa habari wanawake(TAMWA) Valerie Msoka akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Baadhi ya wageni wakifuatilia hotuba zilizokuwa zikitolewa.
Meneja mawasiliano wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)Paschal Shelutete akizungumza wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Meneja Uhusiano wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro(NCAA)Adam Akyoo akizungumza
wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Mkuu wa wilaya ya Arusha John Mongela aliyemwakilisha mkuu wa mkoa wa Arusha katika mkutano huo akitoa hotuba yake.
Mgeni rasmi katika mkutano huo Mh Jaji Mstaafu Mark Bomani akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wanahabari pamoja na wadau wao katika siku ya Uhuru wa vyombo vya habari Duniani,mkutano uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa AICC jijini Arusha.
Msanii Mrisho Mpoto akibadilishana mawazo na waandishi wa habari wakongwe ,pembeni ni Edda Sanga.
Na  Dixon Busagaga wa globu ya jamii kanda ya kaskazini.

No comments:

Post a Comment