Wednesday, May 14, 2014

MKUTANO WA NNE WA WADAU WA NSSF WAENDELEA KWA SIKU YA PILI JIJINI ARUSHA LEO

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akielekezea namna shirika hilo lilivyoanza kufanya kazi zake mpaka kufikia leo hii linapotimisha miaka 50,wakati akiwasilisha Mada yake kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Kikao cha kwanza siku ya leo,ambaye pia ni Mwenyekiti wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) la Nchini Kenya,Adan Mohamed  akiongoza kikao hicho leo kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mkurugenzi wa Mipango,Uwekezaji na Miradi wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Yacoub Kidula akiwasilisha mada yake iliyohusu mambo ya Uwekezaji,kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Dkt. Makongoro Mahanga akichangia moja ya mada zilizokuwa zikitolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Ufatiliaji mada kwa umakini.
Mwenyekiti wa Kikao cha Pili kwa siku ya leo cha Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Prof. Mussa Assad akizungumza jambo wakati akiweka sawa taratibu za uchangiaji katika kikao cha Mkutano huo, unaoendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akisisitiza jambo wakati wa kujibu baadhi ya maswali ya Wadau wa NSSF wanaohudhulia Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Mwenyekiti Mpya wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Mifuko ya Hifadhi za Jamii (SSRA),Juma Ally Muhimbi akifatilia mada mbali mbali zinazoendelea kutolewa kwenye Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) unaoambatana na Maadhimisho ya Miaka 50 ya NPF-NSSF ulioanza rasmi jana na kuendelea leo kwa siku ya pili,kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
Wadau mbali mbali wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakiuliza mashali.
Waheshimiwa Wabunge wakiwa kwenye Mkutano huo.
Wadau mbali mbali wa Mkutano wa nne wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakifatilia kwa makini mkutano huo.

No comments:

Post a Comment