Tuesday, May 6, 2014

BENKI YA CRDB YATOA MSAADA WA VISIMA VYA MAJI SAFI NA SALAMA MKOANI SINGIDA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi kisima katika Shule ya sekondari Kinambeu iliyopo Singida. Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla. 
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda akizungumza katika hafla ya kukabidhi visima vilivyotolewa na benki ya CRDB mkoani Singida.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira, ambaye pia ni mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla akizungumza wakati wa hafla hiyo kukabidhi kisima katika Shule ya Sekondari Kinambeu mkoni Singida.
Kisima kilichochimbwa na benki ya CRDB kwa ajili ya Shule ya Sekondari Kinambeu.
 Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akizindua Kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu, wilaya ya Iramba Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla. 
 Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (katikati) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Yahya Nawanda na Kushoto na kulia ni Mratibu wa mradi huo kutoka  taasisi isiyo ya kiserikali ya Nkwamira, Noreen Mazalla. 
 Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto), akizindua kisima cha maji katika Shule ya Sekondari Kinambeu iliyopo katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida.
Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akimtwisha ndoo ya  maji mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinambeu, Joyce Zakaria, baada ya kuzindua kisima cha maji shuleni hapo. Hafla hiyo ilifanyika Mkoani Singida, mwishoni mwa wiki.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Kinambeu wakiimba nyimbo wakati wa hafla ya kukabidhi kisima kilichochimbwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Shule hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye pia ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla (kulia), akimshukuru Mkurugenzi  Mtendaji wa  Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 
Wanafunzi wa shule ya Sekondari Kinambeu wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya kisima walichokabidhiwa na Uongozi wa Benki ya CRDB. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei 
 Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Benki ya CRDB, Willy Kamwela akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Isiyo ya Kiserikali ya Nkwamilla ambaye pia ni Mratibu wa mradi huo, Noreen Mazalla. 
Wanafunzi wa Shuke ya Sekondari Kinambeu wakitumbuiza kwa nyimbo.

No comments:

Post a Comment