Watanzania waishio nchini Ufaransa walikutana Jumamosi mchana tarehe 26 Aprili nyumbani kwa Balozi wa Tanzania mjini Paris ili kusherehekea miaka 50 ya muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika.
Balozi wa Tanzania Nchini Ufaranza,Mh. Begum Karim Taj akipokea keki maalum kwa ajili ya sherehe hizo za Muungano wa Tanzania katika hafla iliyofanyika nyumbani kwa Balozi,Mjini Paris Ufaransa.
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa akiwa na watoto mjini Paris.
Mh. Balozi Begum Taj akiwa na baadhi ya watanzania waishio nchini Ufaranza.
Kutoka kushoto: Ndg John Kimaro (Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Kale), Mh Begum Taj (Balozi wa Tanzania) na Rainfrida Kapela (Mhifadhi Mkuu wa Mambokale Bagamoyo).
Mh Begum Karim Taj akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Watanzania Ufaransa Mh Delly Makombe.
Ndugu Mohammed Sheya akiimba wimbo wa Taifa.
Mama Delly , Mh Balozi Tah na Mama Matari wakikata keki.
Burudani ya uhakika ikiendelea.
Ndg John Kimaro (katikati) akiongea na wageni wakati wa sherehe za MuunganoMama Rainfrida Kapela Mhifadhi Mkuu wa Mambo ya Kale Bagamoyo
Vyakula mbalimbali katika kuenzi miaka 50 ya muungano.
Baadaye ikawa kazi ya kufungua 'champaign' kuenzi sherehe za Muungano.Picha na Mdau Simplish Lakshi.
No comments:
Post a Comment