Wednesday, April 16, 2014

Chuo Kikuu cha Bagamoyo chawaasa wahitimu wa kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu

Na Happiness Katabazi, Bagamoyo

CHUO Kikuu Cha Bagamoyo (UB) Dar es Salaam, kimewataka wahitimu walioitimu kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii kutumia taaluma hiyo waliyoipata Katika nchi za Afrika Mashariki bila woga ili waweze Kuwatetea wananchi ambao Haki zao zinapunjwa na hawajui jinsi ya kuzidai.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), Dk.Natujwa Mvungi juzi katika mahafali ya kuwakabidhi jumla ya wahitimu 10 yaliyofanyika Katika Ukumbi wa chuo hicho uliopo KAWE Beach Da es Salaam, ambapo Mafunzo hayo yalifadhiliwa na taasisi ya Akiba Uhaki  Foundation ya nchini Kenya.
Dk.Natujwa ambaye pia ni Mratibu wa kozi hiyo Alisema kozi hiyo Ulianza Septemba Mwaka Jana na kumalizika Machi mwaka huu, ambapo wahitimu kutoka nchini za Afrika Mashariki  wakiwa na fursa ya kafundishwa na Wanasheria toka vyuo mbalimbali jinsi ya kuweza kuwa watetezi wa Haki za binadamu katika nchi wanazotoka.
"UB imewafundisha jinsi ya kufahamu Haki za binadamu ni zipi?na wa jibu wa binadamu wa serikali na Jamii yake ni upo na Jinsi ya kuzidai Haki hizo....tunaimani mnavyorudi nchini kwenu mtaenda kutumia elimu hii mliyoipata kwa vitendo ili wale ambao hawajafanikiwa Kuipata elimu hiyo waweze kunufaika na elimu mliyoipata" Alisema Dk. Natujwa.
Kwa upande wake Rais wa Chama Cha Tanganyika Law Society(TLS)" Charles Rwechungura, akipongeza UB, na Taasisi ya Akiba Uhaki KWA kuendesha Mafunzo hayo kutoka Kwa wahitimu Hao wanaogombea nchi za EAC Kwani licha ya swaps mwanga wahitimu Hao w kufahamu Haki za binadamu pia zimeimalisha mahusiano mema, na kuwataka wahitimu hao wakaitumie vyama elimu waliyoipata katika Jamii zinazowazunguka.
Mkuu wa Maktaba wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Masawe akizungumza wakati wa hafla ya utoaji vyeti kwa wahitimu wa Kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu na Haki za Kijamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Dk. Kasoga akisoma hotuba yake.
Mratibu wa Mafunzo hayo kutoka akibaUhaki, Kepta Ombati akizungumza wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa Kozi ya Utetezi wa Haki za Binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura akizungumza wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB), Dk.Natujwa Mvungi akizungumza wakati wa hafla hiyo.
ProfPalamagamba Kabudi akizungumza na wahitimu wa kozi ya Utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.

Gachichi Gachere akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura.

 Mariamu Zablon  akipokea cheti kutoka kwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wakati wa hafla ya kutoa vyeti kwa wahitimu wa kozi ya utetezi wa Haki za binadamu na Haki za kijamii iliyofanyika katika Chuo Kikuu cha Bagamoyo jijini Dar es Salaam.
Mhitimu kutoka Uganda akipokea cheti.
Trambona Aniella kutoka Burundi akipokea cheti.
Mkuu wa Kitivo Cha Sheria Cha Chuo Kikuu Cha Bagamoyo (UB), Dk.Natujwa Mvungi  (kushoto), na Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Alphonce Gura (katikati), wakimkabidhi cheti, Amos Charo Saro kutoka Kenya.
Baadhi ya wahitimu wakiwa na vyeti vyao. Kutoka kushoto ni 
Amos Charo Saro kutoka Kenya, Odhiambo Otieno na Gachichi Gachere.
Kulia ni Trambona Aniella kutoka Burundi akiwa na Hakizayezu Danile kutoka Rwanda wakiwa na vyeti  vyao.
Baadhi ya wageni waalikwa.
Baadhi ya wahitimu.
Mgeni rasmi akipata chakua.
ProfPalamagamba Kabudi a
kipata chakula.
Baadhi ya wahitimu wakipata chakula cha jioni.
Badhi ya wageni waalikwa wakipata  chakula.
Wageni waalikwa wakipata chakula.
Chakula cha jioni.
Meza Kuu.
Baadhi ya waadhiri wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mgeni rasmi akiwa kaptika picha ya pamoja na waadhiri wa Chuo kikuu cha bagamoyo pamoja na wahitimu wa Chuo hicho.
Picha ya pamoja.
 Picha ya pamoja.
 Picha ya pamoja.
Wahitimu wa Kozi ya Picha ya pamoja.
Mkuu wa Kitivo cha Sheria Chuo Kikuu cha Bagamoyo, Natujwa Mvungi (wa pili kushoto), akiwa na baadhi ya wahitimu wa kozi hiyo. Kulia ni Mhadhiri wa Chuo hicho.

No comments:

Post a Comment