Tuesday, March 25, 2014

KAMPENI ZA CCM JIMBO LA CHALINZE,ZAENDELEA LEO KATA YA LUGOBA

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,wakati wa muendelezo wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete (hayupo pichani).
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akinadi sera zake kwa wananchi wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014,ikiwa ni muendelezo wa Kampeni zake.
Mzee wa kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba akionyesha umahiri wake wa kupiga kifaa cha Muziki kilichotengenezwa kiasilia.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye wakishiriki kucheza muziki pamoja na wananchi wa Kijiji cha Kinzagu,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye akishiriki kuruka juu pamoja na Wamasai ambao ni wakazi wa Kijiji cha Kinzugi,Kata la Lugoba ndani ya Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani.
Muimbazi wa Muziki wa Kizazi Kipya,Hafsa Kazinja akitoa bururudani mbele ya wananchi wakazi wa kijiji cha Kinzagu,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014.
Sam wa Ukweli akifanya vitu vyake.
Vumbi likitimka wakati wananchi wa kijiji cha Kinzagu,Kata ya Lugoba walipokuwa wakitoa burudani wakati wa kumkaribisha Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Kikwete alieongozana na Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi (CCM),Nape Nnauye.
Wadau.
Dokii nae pia yupo.
Diwani wa Kata ya Lugoba,Rehema Mwemwe akitoa taarifa ya Maendeleo ya Kata yake wakati wa Mkutano wa Kampeni za CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze zilizofanyika katika Kijiji cha Makombe,Kata ya Lugoba leo Machi 25,2014.






















No comments:

Post a Comment