Rais mstaafu wa Awamu ya tatu,Mh. Benjamini Mkapa akipokea zawadi kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo iliyotolewa na Parokia ya Kanisa Katoliki la Maria Imakulata Upanga jijini Dar es Salaam.
Rais mstaafu Benjamion Mkapa akipokea zawadi kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa ibada maalum ya kutimiza miaka 75 iliyofanyika katika Kanisa la Katoliki la Maria Imakulata jijini Dar es Salaam.
Rais mstaafu Benjamion Mkapa akipokea zawadi kutoka kwa Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa ibada maalum ya kutimiza miaka 75 iliyofanyika katika Kanisa la Katoliki la Maria Imakulata jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Maua yaliyopambwa vizuri kwa kusomeka namba 75 ikiwa ni ishara ya umri wa Mh. Benjamin Mkapa.
Kwaya ikitumbuiza.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongoza ibada.
Waumini wakiwa kwenye ibada.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongoza ibada.
Rais mstaafu wa Awamu ya tatu,Mh. Benjamini Mkapa akizungumza machache wakati wa ibada hiyo ya kusherehekea kutimiza miaka 75 ya kuzaliwa kwake.
No comments:
Post a Comment