Mdau akiangalia kitambulisho cha Taifa cha mmoja wa maofisa alioongozana nao Rais Kikwete wakati alipokutana na Watanzania waishio Poland katika hoteli ya Bristol jijini Warsaw usiku wa kuamkia leo. Wengi wa wadau hawa walikuwa hawana habari kwamba vitambulisho vya Taifa vimeshaanza kugawiwa kwa wananchi
Aliyewahi kuwa balozi wa Poland nchini Tanzania akijitambulisha
Mwalimu Anna Paciorek akiuliza swali
Padri akieleza jambo
Mmoja wa wadau akiuliza swali
Rais Kikwete akiongea na Watanzania hao
Hotuba na ufafanuzi wa mambo mbalimbali vinaendelea
Kila mmoja akimsikiliza Rais Kikwete kwa makini
Hotuba ikiendelea
Hapa ni kuhusu umuhimu wa ughaibuni kujenga nyumbani...
Mwalimu Anna PAciorek akisoma risala ya Watanzania wa Poland
Kaimu Balozi Mhe Christopher Mvula akifunua pazia la kikao hicho
Rais Kikwete akipokea risala toka kwa Mwalimu Anna Pacoirek
Wadau wakijitambulisha
Mama Salma Kikwete akiongea na familia ya Mdau Wambura
Kumbe Kuna wabongo wanaoishi Poland naona hakuna tofauti yeyote Kati ya Tanzania na Poland hongereni wadau
ReplyDeleteMdau anonymous hapo juu, ulishawahi kufika Poland? Nimeishi hiyo nchi kwa zaidi ya miaka 10. Kwa taarifa yako, hakuna nchi Afrika inayoweza kuifikia Poland kwa maendeleo.
ReplyDeleteWewe kwani Poland kuna mgao WA umeme kama bongo? Acha huzo huwezi linganisha bongo na Poland
ReplyDelete