Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini
Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
Mbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma leo. hata hivyo Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Microphone hiyo iling'oka na polisi wakafaikiwa kumtoa nje
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma leo
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dododma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai
Mbunge wa Mbeya Mjini akizuiwa na wabunge wa CHADEMA ili asiambane na polisi, Bungeni Mjini Dodoma leo
wapinzani, wamepageuza jumba kubwa kuwa klabu, kila mtu anataka ku endesha mambo kienyeji
ReplyDeleteSasa mbowe kaka yangu, watu wamepiga kura 159 against 53 kama kweli wewe unataka demokrasia iendelee kwani huoni kwamba hao 159 ni wengi kuliko 53??? au unataka mwaka 2015 ukipata kubwa CCM wakate.. unajua demokrasia kweli?
mwaka ujao cheka awe mbunge. ajiri ya ngumi bungen
ReplyDeleteHili ndio tatizo la kuwatoa watu kwenye bongofleva na kuwapa uheshimiwa, chadema hawana jipya wanatafuta maarufu
ReplyDeletemwanzoni niliwapenda sana hawa upinzani sasa hivi nipo neutral sipo popote hata sijui wanakotupeleka wanasiasa wa nchi hii ni wapi, cc tunataka kusikia ishu za kujenga, sio vurugu na kuongea hovyo, kutofuata kanuni mara wote mnatoka bungeni, wananchi wenu waliwatuma mkawasemee nyie mnatoka nani awasemee wananchi???
ReplyDeleteninchokiona hapa kila mtu anataka kwenda ikulu basi na si maslahi ya taifa.
Waheshiwa wabunge tunawaheshimu,tunaomba hadhi ya bunge letu irudishwe! wapi mwalimu Nyerere jamani......
ReplyDeletenimewachukia kushinda mnavyofikiria hamna maana hata kidogo bunge mmegeuza kama kijiwe cha mateja
ReplyDeleteDaaah inashangaza sana kuona watu walioaminiwa na wananchi kuwa wanaakili timamu leo wabunge na kesho tukiwapa urais c itakuwa balaa mm nawaomba wabunge wawe wastaarabu vinginevyo wananchi uchaguzi ujao tusiwachague hao masela wa vurugu za Disco
ReplyDeleteNi mtazamo tu ukimind mwenyewe...........
Anonymous 11.31pm
ReplyDeleteWhat do you mean kama huna cha kusema kaa kimya alaa!
Chadema imepoteza mwelekeo. Imekuwa chama cha wahuni. Wanahitaji mabadiliko ya uongozi. Ni aibu kubwa sana kusababisha vurugu ndani ya bunge. Lawama zote zinatakiwa zimwangukie Mbowe maana jeuri yake ndiyo inayosababisha wafuasi wake walete ukaidi usiokuwa na msingi. Wakina Sugu wanastahili wapewe adhabu kali ili wasirudie ujinga huo tena.
ReplyDeleteKWELI INASIKITISHA BUNGE LETU USTAARABU UMEKOSEKANA GHARAMA TENA ZA KUTENGENEZA MICROPHONE
ReplyDeleteAibu gani hii! mimi kama mwananchi najisikia aibu sana ... kujivunia utanzania kama enzi zile za mwalimu. The house is goin to the dogs ... no reasoning apart from expressing emotions. Ndugu wabunge jukumu lenu ni kwa watu wenu ... si sera za vyama vyenu.
ReplyDeleteWote hamfwatilii bunge pia kumbukeni kila kitu kinautaratibu kwani mbowe alitumia nguvu hadi waitwe police? Kukaidi kukaa sio sababu ya askari kuitwa huyo ndugai angetumia busara za kiti chake aidha kumsikiliza la kumwelekeza afanye nini. Asinge waita askari vulugu zisinge kuwepo tukubali kuwa tanzania hatuna demokrasia wengi wape!!!!!
ReplyDeleteKaka unatisha!
ReplyDelete