Sayansi maana yake ni maarifa . Tunapo zungumzia dhana ya
sayansi ya kiafrika , tunakuwa tunamaanisha matumizi ya maarifa
ya kiafrika katika kukabiliana na mazingira ya mwanadamu
pamoja na changamoto mbalimbali zinazo mkabili .
Tafiti
mbalimbali za ki akiolojia na ki-anthropolojia zinaonyesha kuwa
sayansi ya kiafrika imekuwapo kwa takribani miaka bilioni
mbili sasa, hii ikiwa na maana kuwa sayansi ama ustaarabu wa
kiafrika ndio ustaarabu mkongwe kupita ustaarabu mwingine
wowote ule katika sayari ya dunia.
Hata ustaarabu wa jamii
mbalimbali duniani kama vile waajemi, wayunani (Ugiriki ya kale
), wamisri, wasumeri ( Mesopotamia/babiloni ) ya kale nakadhalika,
unatokana na ustaarabu ambao msingi wake ni sayansi ya
kiafrika.
• Sayansi ya kiafrika imethibitika kumsaidia mwanadamu katika
kukabiliana na mazingira yake kwa zaidi ya asilimia tisini na
tisa (99%).
• Kwa bahati mbaya sana, sayansi ya kiafrika imepewa jina baya
kwa kuitwa uchawi na kupigwa vita mbaya tangu mamia ya miaka
iliyopita, lengo kuu likiwa ni kumuondolea mwanadamu uwezo wa
kiungu ulio wekwa ndani yake wa kukabiliana na changamoto
mbalimbali zinazo mkabili katika maisha yake ya kila siku.
• Hata hivyo watu hawa walio mstari wa mbele katika kuipiga
vita sayansi ya kiafrika, bado wanaendelea kuitumia sayansi ya
kiafrika katika maisha yao ya kila siku japo kwa usiri mkubwa
sana, ilihali wakati huo huo wakiendelea kuipiga vita sayansi
hii. Watu hawa wanataka maarifa haya yawe ni kwa watu
wachache.
• “ The Choosen Few “ huku mamilioni ya walio baki
wakiendelea kuishi katika giza bila kujua kitu chochote kile
kinacho endelea kwenye maisha yao. Hali hii imewafanya
waendelee kuitawala dunia kwa muda mrefu sana kwa kutumia
nyenzo mbalimbali za ku-control fikra za wanadamu.
Hofu kuu ya
watu hawa ni kwamba, endapo kila mwanadamu ataifahamu vyema
misingi ya sayansi ya kiafrika, itakuwa vigumu sana kwa wao
kumtawala kwa sababu kila mtu atakuwa na uwezo wa kuyatawala
mazingira yake na kukabiliana na changamoto za aina yoyote
ile zinazo yakabili maisha ya kila siku ya mwanadamu…
• Sayansi ya kiafrika humjengea mwanadamu uwezo wa kuwa na
mamlaka juu ya vitu vyote vilivyopo hapa duniani, vinavyo
onekana na visivyo onekana. Humpa uwezo wa kuvitiisha vitu
vyote vilivyo na uhai na visivyo na uhai.. Kwa ufupi
inamfanya kuwa na umoja na Mungu.
• Miongoni mwa mambo ya kawaida kabisa anayo fundishwa
mwanadamu katika sayansi ya kiafrika ni pamoja na :
• Somo la AKILI-UMEME-SAUTI ama MIND-ELECTRICITY-SOUND . Elimu
hii humpa mwanadamu uwezo wa kuwa- control wanadamu wenzake
kifikra, uwezo wa kuwatawala majini na viumbe wasio onekana na
macho ya nyama, uwezo wa kuumba vitu, mambo na hali za aina
mbalimbali kwa kutumia maneno, uwezo wa kupeleka heri au shari
kwa wanadamu, wanyama, mimea na roho, uwezo wa kuvitiisha
viumbe vyote vya nchi kavu,uwezo wa kutumia nguvu ya akili
katika kufanya mambo mbalimbali nakadhalika.
• Somo la UMEME & HEWA au ELECTRICITY & AIR. Elimu hii humpa
mwanadamu uwezo wa kupaa angani, uwezo wa kuitiisha anga na
viumbe vyote vya angani, uwezo wa kuwasiliana na kuvi control
viumbe vinavyo ishi kwenye upepo, uwezo wa kupeleka ujumbe
kutoka sehemu moja ya dunia kwenda sehemu nyingine yoyote
ile, uwezo wa kusafiri angani nakadhalika.
• Somo la NECROMANCIA ama NEGROMANCIA ambalo humpa mwanadamu
uwezo wa kuwasiliana na kuzungumza na roho za watu walio
kwisha kufa.
• Uwezo wa kuwasiliana na viumbe vya mtoni, ziwani na baharini
• Mamlaka ya kuvitiisha viumbe vyote vya duniani, vya nchi
kavu, baharini, na angani, vinavyo onekana na visivyo onekana.
• Uwezo wa kuona vitu visivyo onekana na wanadamu
• Uwezo wa kusikia sauti zisizo sikiwa na wanadamu.
• Uwezo wa kufanya mambo katika namna ya kiungu.
o Hayo ni moja kati ya maaarifa machache yanayo patikana
katika sayansi ya kiafrika.
• Kwa ufupi, sayansi ya kiafrika inampa mwanadamu mamlaka
kamili ya kuwa kitu kimoja na Mungu. Mfalme Suleiman ni
miongoni mwa wanadamu walio pata bahati ya kupewa maarifa
haya, habari zake nadhani wengi wetu tuna zifahamu.
• Endapo wanadamu watazingatia misingi ya sayansi ya kiafrika,
basi wataweza kuyatawaka mazingira yao pamoja na changamoto
mbalimbali zinazo wakabili kwa kiwango kikubwa sana.
• MUNGU NI NANI KWA MTAZAMO WETU?
• Kwetu sisi MWENYEZI MUNGU ni NGUVU KUU YA UHAI ( THE MOST
GREATEST FORCE OF LIFE ). Nguvu Ya Uhai ni nini ? Nguvu ya
uhai ni roho ama nishati inayo vifanya viumbe viishi na/ama
viwepo au ni roho ama nishati inayo weka uhai kwenye viumbe
vyote vinavyo onekana na visivyo onekana. Hivyo basi kwetu
sisi MWENYEZI MUNGU ndio NGUVU KUU YA UHAI, kwa maana yeye
ndio chanzo cha uhai wa kila kiumbe cha hapa duniani, kinacho
onekana na kisicho onekana.
• Wakati mwingine huwa tunamtaja Mungu kama MOVENS IMMOBILE
yaani UNMOVED MOVER.
• UHUSIANO KATI YA MUNGU NA MWANADAMU.
• Sisi tuna amini kuwa MUNGU NA MWANADAMU ni kitu kimoja.
Mwanadamu anatoka kwa MWENYEZI MUNGU. Kama nilivyo eleza hapo
awali, Mwenyezi Mungu ndio NGUVU KUU YA UHAI, ndio CHANZO
KIKUU CHA UHAI, hivyo basi kila kiumbe chenye uhai kinatoka
kwenye chanzo cha uhai, nguvu inayo mfanya mwanadamu aishi,
inatoka kwa Mungu, nguvu hiyo ni Mungu mwenyewe, kwa maana
nyingine mwanadamu ni muungu mdogo, Mungu anajidhihirisha kupitia
huyu mwanadamu. Kwa lugha nyingine ni kwamba, wanadamu ni
vidhihirisho vya pembeni vya CHANZO KIKUU CHA UHAI.
Vidhihirisho hivi, vinapotambua nguvu iliyopo ndani yake na
kuanza kuitumia vyema, NGUVU KUU YA UHAI ambayo ndio chanzo
kikuu cha uhai, hujidhihirisha pamoja navyo, inapofikia hatua
hii, vidhihirisho hivyo huwa kitu kimoja na kidhihirisho kikuu
na hufanya mambo yake katika mfano wa CHANZO KIKUU CHA UHAI.
YESU alilitambua hili ndio maana ali fanikiwa ku atain
eternity akiwa duniani, mara nyingi alikuwa akisema “ MIMI NA
BABA TU KITU KIMOJA “. Hapa alimaanisha kuwa yeye na Mungu ni
kitu kimoja, sio katika form ( muundo) bali katika
consciousness. Wayahudi hawakulitambua hili ndio maana walidhani
anakufuru.
• Kwa wale mnao taka kujifunza zaidi kuhusu sayansi ya
kiafrika, tafadhali tuandikieni : ungoafrika@gmail.com au
Tembeleeni http://www.ungoafrika.blogspot.com
• SIMU : 0686865167
• MAARIFA NDIO JIBU LA KILA KITU.
Kitu usicho kijuwa ni kama usiku wa giza, hili somo in babukubwa.
ReplyDeleteKuna mtu anaweza kunipa contact Zake nimejaribu email hajibu
DeleteNitumie mawasiliano kwa humblemunkie@yahoo.ca