Monday, August 5, 2013

SPIKA MAKINDA, AFUNGUA BARAZA LA KATIBA LA CHAMA CHA WABUNGE WANAWAKE TANZANIA (TWPG) BAGAMOYO LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika meza kuu na viongozi wa TWPG pamoja na mtoa mada katika kikao cha Baraza hilo Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa
 Naibu Katibu Mkuu wa TWPG Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akiwakaribisha wajumbe
 Katibu Mkuu wa TWPG ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) akielezea Muhtasari wa Baraza hilo, Malengo na Matokeo yanayotarajiwa kwa mgeni rasmi
 Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Anna Abdallah (MB) akitoa neno la ukaribisho 
 Mkuu wa Mkoa wa pwani Mhe. Mwantumu Mahiza akimkaribisha mgeni rasmi kufungua Baraza la katiba kwa wabunge wanawake
 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifungua rasmi baraza la Katiba kwa wabunge wanawake mjini Bagamoyo
 Mgeni Rasmi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifungua rasmi baraza la Katiba kwa wabunge wanawake mjini Bagamoyo
 Makamu Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Suzan Lyimo akitoa shukran zake baada ya ufunguzi rasmi
 Picha ya pamoja
 Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa akiwakilisha mada kwa wabunge wanawake kuhusu yaliyomo Kwenye Rasimu ya Katiba 
 Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa akiwakilisha mada kwa wabunge wanawake kuhusu yaliyomo Kwenye Rasimu ya Katiba 
 Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada kwa makini
 Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada kwa makini
Katibu Mkuu wa TWPG ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) na Naibu Katibu Mkuu wa TWPG Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa wakifuatilia mada ya Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa kuhusu yaliyomo Kwenye Rasimu ya Katiba wakati wa baraza la katiba la Wabunge wanawake walipokuwa wakichambua rasimu ya katiba. Kushoto ni  Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza
 Mhe. Lediana Mg'ong'o akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika Bagamoyo.
 Mhe. Magdalena Sakaya akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika Bagamoyo.
  Mhe. Spika Anne Makinda akifuatilia kwa makini baadhi ya vipengele vilivyomo katika kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika Bagamoyo.
 Mhe. Hilda Ngoye akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika Bagamoyo.
 Mhe. Agripina Buyogela akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika Bagamoyo.
 Mhe. Zarina Madabida akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika Bagamoyo.
 Mkuu wa Mkoa wa pwani Mhe. Mwantumu Mahiza nae akifuatilia kwa makini vipengele vilivyomo kwenye rasimu ya katiba
Wabunge wakiimba wimbo wakujipongeza mara baada ya Spika mstaafu Mhe. Pius Msekwa kuwapitisha kwenye vipengele vya rasimu ya katiba na kuvijadili kwa undani wakati wa baraza la katiba la wabunge wanawake linalofanyika Bagamoyo. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge

No comments:

Post a Comment