Sunday, August 25, 2013

FEISAL NA RUKKAYA WAMEREMETA UBELGIJI

 Bi harusi Mrs Rukkaya Feisal akijiandaa kushuka toka ndani ya gari iliyomleta ukumbini hapo jana
Harusi ya jana iliambatana na utoaji wa zawadi toka upande wa bi harusi..pichani mmoja wa wadogo wa bi harusi akigawa zawadi kwa wageni waalikwa hapo jana.. 
 Utaratibu wa kugawa zawadiukiendelea kwa watu wote waliofika katika shughuli hiyo hapo jana..
Harusi ni jambo la furaha  
 Wadogo zake na bi harusi wakifurahia harusi ya dada yao ukumbini hapo jana..
Wadogo zake bi harusi wakiwa tayari kuingia ukumbini kwa staili ya kipekee 
Kadhalika na hawa pia ni kaka zake na bi harusi wakiwa tayari kuingia ukumbini kwa mtindo tofauti
 Bi harusi akiwa na kaka yake wakiingia ukumbini
 Na hawa pia ni kaka wa bi harusi wakiingia ukumbini kwa design yao pia
 Kaka wa bi harusi akimsindikiza dada yake ukumbini
 Bwana harusi akiingia na shemeji zake ukumbini..
Mdogo wa bi harusi akiongoza jinsi ya kuingia ukumbini kwa staili ya kipekee kabisaa, Ilipendeza sana 
 ``Bwana shemeji karibu sana`` kaka wa bi harusi akimkaribisha shemeji yake ili akajumuike na mkewe
                                             `` Haya shem na huyu ndio mkeo``
 Hongera sana bwana shemeji na karibu kwetu
 Bwana harusi akipongezwa na mmoja wa shemeji zake ukumbini hapo jana
 Mmmmmmh Mash`Allah Mr na Mrs Feisal walipendeza..Hongereni maharusi
 Picha ya pamoja na maharusi
 Bi harusi na mmoja wa wazazi
 Baadhi ya wana familia wakipata picha ya pamoja na bi harusi
 Baadhi ya wana familia ambao walipendeza sana,bidada aliyeketi ndiye designer wa vijana na wasichana walioingia ukumbini na bi harusi
 Mama mzazi kushoto  na nduguye wakipata picha ya pamoja na maharusi hapo jana
 Moja kati ya watu waliofika katika harusi hapo jana ni bwana Musa na mkewe Intysar wakiwa na mtoto wao..
 Maharusi wakipata picha ya pamoja na wanandugu
 Baadhi ya wanafamilia na wazazi wakipata picha na maharusi hapo jana
 Mama mzazi wa bi harusi
 Mama wa bi harusi
Mr and Mrs Feisal Maganga One Blog inatoa pongezi za dhati kwa maharusi wote,pia inatoa pongezi kwa wazazi wa pande zote kwa vijana wao kutimiza moja ya mambo mema yanayomfurahisha Mwenyezi Mungu.Allah awaongeze vyama kwenye maisha yao yote ya ndoa insh`Allah. Picha zote na maelezo na Maganga One Blog

No comments:

Post a Comment