Sunday, June 23, 2013

mdau wa globu ya jamii abwia nondozzzzz ya PHD Finland

Dkt Frateline Mlashani Kashaga wa Helsinki,  Finland,  ni mdau wa siku nyingi wa blog ya jamii katika nchi hiyo ambayo Globu ya Jamii ilizaliwa mwaka 2005. Tangia April, 2008 mpaka mwaka huu 2013 amekuwa kwenye masomo ya PhD in Social Policy , University of Helsinki, Finland . Juzi tarehe 20th June, 2013 aliweza kutetea andiko lake la  PhD public defense katika Ukumbi wa Auditorium XII Main Building of the University of Helsinki. Globu ya Jamii inampongeza kwa fanaka hiyo. HONGERA SANA SANA!
 Picha ya kwanza, ni Mdau wa Helsinki, Mr. Dennis Londo akimpongeza Dr. Frateline Kashaga mara baada ya kumaliza kutetea nondozzz yake ya PhD  katika ukumbi wa chuo kikuu cha Helsinki Finland.
 Mdau FRATELINE MLASHANI KASHAGA (PhD) akipongezwa na mai waifu  wake kwenye ukumbi wa chuo kikuu cha Helsinki Finland
 Wadau kutoka Ghana ambao ni watafiti katika chuo kikuu cha Helsinki wakiwa na Dr. kashaga na mai waifu  wake.
 ni katika ukumbi ambapo PhD defense ya Frateline ilifanyika. Hapo anaonekana Mkuu wa defense hiyo Professor Ullamaija Seppala akitambulisha andiko la ndugu Frateline Kashaga (PhD)
 Dr. Kashaga akitetea andiko lake yaani PhD defense.  Title of my PhD inasema hivi " BACK TO THE ROOTS: A NEW SOCIAL POLICY AGENDA FOR THE WELFARE OF THE ELDERLY IN RURAL  TANZANIA: THE CASE STUDY OF BUKOBA DISTRICT. KWA TAARIFA ZAIDI KUHUSU  nondozz hiyo nenda  https://helda.helsinki.fi/handle/10138/40018
 Dennis Londo mdau mkubwa wa Helsinki na Mwenyekiti wa Tanzania-Finnish Friendship Association akiwa kwenye maongezi na mke wa supervisor  yaani Mrs. Professor JP ROOS
 Sherehe fupi ya kupongeza Dr. Kashaga iliyoandaliwa kwa ushirikiano na wakuu wa Idara ya Social and Public Policy ambapo Dr. Kashaga amesomea
 erehe fupi ya kupongeza Dr. Kashaga iliyoandaliwa kwa ushirikiano na wakuu wa Idara ya Social and Public Policy ambapo Dr. Kashaga amesomea

No comments:

Post a Comment