MAREHEMU NDG. ERNEST X. ZULU
(1957
– 2013)
Ofisi ya Bunge inapenda kutoka ratiba ya Mazishi
ya mtumishi wa Bunge, ndg. Ernest Zulu, Afisa Habari Mkuu, aliyefariki dunia
tarehe 23/05/2013 akiwa masomoni nchini Malaysia , kwa maradhi ya kichwa
yaliyomsumbua kwa muda mrefu. Ratiba hii
ni kuanzaia leo tarehe 29 Mei, 2013 kama ifuatavyo:
A.
|
MUDA
|
TUKIO
|
MHUSIKA
|
|
|
29 MEI, 2013
|
|
1.
|
01.30 –
02.00 ASUBUHI
|
KUPATA KIFUNGUA KINYWA
|
WAFIWA NA WAGENI
|
2.
|
04.00
ASUBUHI
|
SAFARI YA
|
WATU WALIOTEULIWA/WAFIWA
|
3.
|
07.20-
7:30 MCHANA
|
MWILI KUWASILI UWANJA WA NDEGE
|
KATIBU WA BUNGE
|
4.
|
08.30
MCHANA
|
MWILI KUELEKEA MUHIMBILI
|
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
|
5.
|
9:30
MCHANA
|
MWILI KUWASILI MUHIMBILI
|
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
|
5.
|
10.00
JIONI
|
MWILI KUELEKEA RIVERSIDE-UBUNGO, KITUO CHA
HUDUMA YA MAOMBEZI
|
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
|
6.
|
12.00
JIONI
|
IBADA YA MISA TAKATIFU
|
WOTE
|
7.
|
02.00
USIKU
|
MWILI KUELEKEA NYUMBANI KWA MAREHEMU UBUNGO
KIBANGU NA KULALA
|
WAFIWA
|
|
|
30 MEI, 2013
|
|
1.
|
05:00
ASUBUHI – 6:00 MCHANA
|
CHAKULA
|
WOTE
|
2
|
06:00 –
06:05 MCHANA
|
WASIFU WA MAREHEMU
|
KATIBU WA BUNGE (MEU)
|
3
|
06:05 –
06:10 MCHANA
|
NENO KUTOKA KWA FAMILIA NDUGU ZULU
|
DANIEL LAWRANCE GAMA
|
4
|
06:10 –
06:15 MCHANA
|
NENO KUTOKA FAMILIA YA MKE WA REHEMU
|
VENANCE MLEKANI
|
5
|
06:15 –
06:25 MCHANA
|
NENO KUTOKA KWA KIONGOZI WA KIROHO
|
FATHER FELISIAN V. MKWERA
|
6.
|
06:25 –
09:30 MCHANA
|
KUTOA HESHIMA ZA MWISHO (NYUMBANI KWA MAREHEMU)
|
WOTE
|
7.
|
09:30
MCHANA
|
MWILI KUELEKEA UWANJA WA NDEGE
|
KATIBU WA BUNGE/WAFIWA
|
8.
|
10:00
JIONI
|
MWILI KUELEKEA SONGEA KWA NDEGE
|
KATIBU WA BUNGE/ FAMILIA YA MAREHEMU
|
9.
|
11:30
JIONI
|
KUWASILI SONGEA
|
WAGENI/ FAMILIA YA MAREHEMU
|
10.
|
12:00
JIONI
|
MWILI KUELEKEA PERAMIHO NA KULALA
|
WAGENI/
FAMILIA YA MAREHEMU
|
|
|
31 MEI, 2013
|
|
1.
|
05:00
ASUBUHI – 6:00 MCHANA
|
CHAKULA
|
WOTE
|
2
|
06:00 –
8:00 MCHANA
|
IBADA YA MISA TAKATIFU
(NYUMBANI)
|
WOTE
|
3.
|
08:00
MCHANA
|
KUTOA HESHIMA ZA MWISHO (NYUMBANI )
|
WOTE
|
4
|
9:00
ALASIRI
|
KUELEKEA MAKABURINI
|
WOTE
|
5
|
9:15
ALASIRI
|
MAZISHI
|
WOTE
|
6
|
10 :45
JIONI
|
SALAM ZA RAMBIRAMBI
|
WAHUSIKA
|
7
|
11 :00
JIONI
|
KUREJEA NYUMBANI NA WASAFIRI KUELEKEA UWANJA WA
NDEGE/KURUDI SONGEA MJINI
|
WAGENI/ WAFIWA/WOTE
|
Imetolewa na Idara ya Habari,
Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa
Ofisi ya Bunge
29 Mei, 2013
Pole sana kwa familia yate ya Chifu Zulu, Gama na wana Peramiho wote. Ernest alikuwanguzo kubwa hasa kwa wale waliokuwa wanaishi Dar. Apumzike kwa amani.
ReplyDelete