Tuesday, April 16, 2013

ROADSHOW YA KUTANGAZA UTALII NA KUVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA UTALII YAFANA JIJINI BEIJING CHINA


 Mdau Henrry Ngoti naye akimpatia mchina huyu taarifa za utalii.

Wadau kutoka Travel Partner ya Dar es Salaam walikuwepo

             kuwakilisha kampuni yao katika kuvutia wageni nchini kutoka China.


Sehemu ya wachina wakifuatilia mada  za utalii wa Tanzania kwa umakini.


Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahim Mussa akiwasilisha mada  katika roadshow hiyo.


  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akihojiwa na wanahabarai kutoka CCTV kuhusiana na roadshowa hiyo.



Mkurugenzi Msaidizi Malikale John Kimaro naye alikuwepo kuhamasisha wachina kutembelea nchini kama watalii.



 Balozi wa Tanzania China Philip Marmo akiongea katika Road show hiyo jijini Beijing China.


 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akihamasisha Wachina kuja nchini kutalii.

Mkurugenzi Mwendeshaji Bodi ya Utalii nchini Dk. Aloyce Nzuki akiwa kazini pamoja na mkalimani wake kuhamasisha wachina kufika nchini.

Ufuatiliaji mada kwa makini
Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Allan Kijazi akivutia wachina
       kutembelea Hifadhi za Taifa nchini.



Ni wakati wa mawakala wa utalii kutoka Tanzania wakichangamana na wenzao wa China kupeana taarifa mbalimbali za utalii nchini.


 Mdau kutoka kampuni ya Melau ya jijini Arusha alikuwepo kuuza utalii wetu.

No comments:

Post a Comment