Thursday, March 7, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO MKUU WA PILI WA MWAKA WA WADAU WA PSPF

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akihutubia wakati akifungua Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mgeni rasmi,Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal kwa ajili ya kuhutubia na kuufungua rasmi Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),George Yambesi akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),Adam Mayingu akitoa taarifa ya Mfuko huo mbele ya Mgeni Rasmi na Wadau waliohudhulia Mkutano huo Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kitambulisho, Winfrey Ibrahim Banda, Mwalimu wa Shule ya Msingi, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Kitambulisho, Faridi Ibrahim Kiringi, mfanyabiashara wa duka la Nguo, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Hati na Nyumba na funguo, Adorat Francis Milinga, mmoja kati ya watu watano walionunua nyumba za PSPF, ambaye ni mmoja kati ya wanachama wapya wanaochangia kwa hiyari, ikiwa ni sehemu ya kutambua mchango wao na ishara ya ufunguzi wa mkuatano huo, ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuanza kwa Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa,Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),George Yambesi (wa pili kulia) na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),Adam Mayingu (kulia).
Msanii Mrisho Mpoto akitoa burudani mbele ya mgeni rasmi wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), uliofanyika leo katika Ukumbi wa Jengo Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Meza Kuu.

Wakurugeni Wakuu wa Mifuko ya Jamii,toka kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA,Irene Isaka,Mkurugenzi Mkuu wa PPF,William Erio pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dkt. Ramadhan Dau wakipiga makofi kupongeza hotuba ya mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.
Wadau.
Wajumbe wa Bodi ya PSPF.
Baadhi ya Wadau waliohudhulia Mkutano huo Mkuu wa pili wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), ulioanza leo asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Jengo la Golden Jubilee Towers, jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment