Friday, January 11, 2013

RATIBA YA ZIARA ZA KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE SEHEMU MBALIMBALI NCHINI KUANZIA TAREHE 14 - 24 JANUARI, 2013.


KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
RATIBA YA KAZI KUANZIA TAREHE 02/01/ 2013 HADI 27/01/2013

UKUMBI: TUME YA KUREKEBISHA SHERIA
13/01/2013
JUMAPILI
·      Wajumbe kuwasili Dar es salaam
·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe
JUMATATU
14/01/2013
·      Shughuli za Kiutawala  
·      Kupitia Ratiba ya Kamati
·      Wajumbe
·      Sekretarieti 
JUMANNE
15/01/2013
·      Kamati kutembelea Mfuko wa Pensheni wa serikali za Mitaa-LAPF
·     Wajumbe
·   Waziri wa Nchi-Ofisi ya WM-TAMISEMI
JUMATANO
16/01/2013

·         Kamati kukutana na kupokea taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa ‘Strategic Cities’
●    Wajumbe

·      Waziri wa  Nchi-Ofisi ya WM-TAMISEMI
ALHAMISI
17/01/2013

·         Kamati kukutana na Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano ili kuangalia utekelezaji wa Bajeti ya Maendeleo  2012/2013.
·      Wajumbe

·      Waziri wa  Nchi-Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano.


IJUMAA
18/01/2013
·        Kamati kutembelea Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge ili kuangalia utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi hiyo (URATIBU NA SERA)
●    Wajumbe

·      Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Uratibu na Bunge.

JUMAMOSI
19/01/2013
·        MAPUMZIKO

·      Wajumbe
       JUMAPILI
20/01/2013
·        MAPUMZIKO
·     Wajumbe

JUMATATU
        21/01/2013


·      Kamati kutembelea Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa lengo la kupata taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume hiyo.

●  Wajumbe

·     Waziri wa  Katiba na Sheria

JUMANNE
22/01/2013
·        Kamati kutembelea Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali
·        Ofisi ya Waziri Mkuu-Sera, Uratibu na Bunge.


JUMATANO
23/01/2013
 NA
ALHAMISI
24/01/2013
NA
IJUMAA
25/01/2013
·        Kamati kushughulikia Miswaada ya Sheria itakayoletwa na Mhe.Spika kwenye  Kamati






●    Wajumbe




JUMAMOSI
26/01/2013
·        Wajumbe kuelekea Dodoma
·      Wajumbe
·    Katibu wa Bunge

JUMAPILI
27/01/2013

·        Wajumbe kuelekea Dodoma

·         Katibu wa Bunge
·      Wajumbe

NB:      1.)        Shughuli za Kamati zitaanza         - Saa 3:00 - 11:00  jioni            
                       
            2.)        Chai                                       -  Saa  5:00 Asubuhi
            3.)        Ratiba itaweza kubadilika iwapo kutakuwa na umuhimu wa kufanya hivo.

  RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA KUANZIA 14 HADI 25 JANUARI, 2013
______________________________

UKUMBI: SAMUEL SITTA – OFISI YA BUNGE
NA
SIKU/TAREHE
SHUGHULI ITAKAYOFANYIKA
MHUSIKA
1.
JUMAPILI
13/01/2013
Wajumbe kuwasili Dar es salaam
·      Katibu wa Bunge
·      Wajumbe
2.
JUMATATU
14/01/2013
Shughuli za utawala na kupitia ratiba
·      Wajumbe
·      Sekretarieti
3.
JUMANNE
15/01/2013
Kupokea taarifa ya utekelezaji wa maagizo yaliyotolewa na Kamati wakati Kamati ilipofanya ziara ya kikazi Mamlaka ya Hifadhi Ngorongoro, Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi ya Taifa ya saa Nane na Hifadhi ya Taifa ya Gombe
·      Wajumbe
·      Waziri wa Maliasili na Utalii
·      Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCCA)
·      Mkurugenzi Mkuu Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA)
4.
JUMATANO
16/01/2013

Kupokea taarifa kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni na mipango iliyopo kufidia wakazi wa Kigamboni watakaopisha eneo la ujenzi.
·      Wajumbe
·      Waziri wa Ardhi,
Nyumba na  Maendeleoya Makazi
5.
ALHAMIS
17/01/2013

Kukutana na Kamati ya wananchi (Wadau) wa mji mpya wa Kigamboni ili kupata maoni yao kuhusu ujenzi wa mji mpya wa Kigamboni.
·      Wajumbe
·      Kamati ya wananchi (Wadau) wa mji mpya wa Kigamboni

6.
IJUMAA
18/01/2013

Ziara  ya kutembelea mradi wa viwanja vilivyopimwa ( Gezaulole)
·       Wajumbe
·      Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke
·      Mwakilishi kutoka Wizara ya Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi
7.






JUMAMOSI NA
JUMAPILI
19-20/01/2013






Kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Saadani kwa lengo la kujielimisha shughuli za uhifadhi katika hifadhi hiyo.


·      Wajumbe
·      Waziri wa Maliasili na Utalii




8.
JUMATATU
21/01/2013
Kukutana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania na kupata maelezo kuhusu utaratibu unaotumika kugawa ardhi kwa wawekezaji.
·    Wajumbe
·      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu  (Uwekezaji na Uwezeshaji)
·      Mwakilishi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi
·      Mkurugenzi  Mtendaji Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
9.
JUMANNE
22/01/2013
1.      Saa 3: 00 Asb – 7: 00 Mch; Kukutana na Halmashauri za Manispaa ya Ilala na Kinondoni na kupata maelezo kuhusu mikakati iliyopo kurejesha kiasi cha shilingi  ambazo ni fedha za mkopo zilizotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi  kwa manispaa hizo tangu Mwaka 2007.
2.      Saa 7:30 Mch – 10: 30 Jioni;   Kukutana na wajumbe wa Kamati ya Mipango miji ya Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam na kubadilishana mawazo kuhusu masuala yanayohusu mazingira na mipango miji
·    Wajumbe
·    Mstahiki Meya wa Jiji  la Dar es  salaam
·      Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala
·      Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni


10.
JUMATANO
23/01/2013
1.      Saa 3:00 Asb – 6:30 Mch; Kukutana na Ofisi ya Waziri Mkuu kitengo cha Maafa na kupokea maelezo jinsi ofisi hiyo ilivyojipanga kurudisha fedha za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi zilizotumika kupima viwanja vya mabwepande.
2.      Saa 7:00 Mch – 9:30 Mch; Kukutana na Wizara ya Ujenzi na kupata taarifa kuhusu mikakati waliyonayo kurejesha fedha kiasi cha shilingi 2,354, 459, 500.00 zilizotolewa na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mwaka 2008 kulipa fidia wananchi wa eneo la kurasini waliotakiwa kupisha ujenzi wa barabara ya daraja la kigamboni kwa niaba ya Wizara ya Ujenzi.

·      Wajumbe

·      Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge)
·      Waziri wa Ujenzi

11.
ALHAMIS
24/01/2013
MAPUMZIKO YA SIKUKUU YA MAULIDI
·      WOTE

12.
IJUMAA
25/01/2013

MAJUMUISHO

·      Wajumbe
·      Sekretariet


13.
JUMAMOSI
      NA
JUMAPILI
26-27/01/2013

 Kusafiri kuelekea Dodoma
·      Wajumbe
·      Katibu wa Bunge

TANBIHI/ ANGALIZO:
  • Vikao vyote vitaanza saa 3:00 Asubuhi
  • Mapumziko ya Chai ni saa 5:00 Asubuhi
 RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII TAREHE 13 -26 JANUARI, 2013

UKUMBI:  TUME YA HAKI ZA BINADAMU
TAREHE/SIKU
SHUGHULI
MHUSIKA
JUMAPILI
13/01/2013
·         Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
JUMATATU
14/01/2013
·         Utawala pamoja na kupitia Ratiba
·         Wajumbe.
·         Sekretarieti

JUMANNE
15/01/2013

·         Kukutana na Taasisi ya Village Education Project Kilimanjaro inayohusika na kuinua matumizi ya Lugha ya Kingereza katika Shule za Msingi

·         Kupata Semina kuhusu Matumizi ya Vyombo vya Habari


·         Wajumbe
·         Taasisi ya Village Education Project Kilimanjaro
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

·         Wajumbe
·         Legislative  Support Project



JUMATANO
16/01/2013


·         Kutembelea Shule ya Msingi ya St. Joseph - Dar es Salaam


·         Wajumbe.
·         Uongozi wa Shule ya Msingi St. Joseph
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi


ALHAMISI
17/01/2013

·         Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Elimuna Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2012/2013



·         Wajumbe.
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi


IJUMAA
18/01/2013

·         Kutembelea na kupata Taarifa ya Utendaji kazi wa Chuo Kikuu cha Afya - Muhimbili (MUHAS)

·         Wajumbe
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi



JUMAMOSI 19/01/2013  NA JUMAPILI 20/01/2013

MAPUMZIKO

·         WOTE


JUMATATU
21/01/2013

·         Kukutana na Chama cha Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Tanzania. Tanzania Association of Social Workers (TASWO)


·         Wajumbe
·         TASWO
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii


JUMANNE
22/01/2013


·         Kutembelea na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. (Government Chemist)


·         Wajumbe
·         Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii



JUMATANO
23/01/2013
 

·         Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka 2012/2013
·          

·         Wajumbe
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

ALHAMISI
24/01/2013


·         MAPUMZIKO YA MAULID

·         WOTE


IJUMAA
25/01/2013

  • Kukutana na Chama cha Watabibu wa Dawa Asilia.  Association of Traditional Medicine (ATME)



·         Wajumbe
·         ATME
·         Sekretarieti
JUMAMOSI 26/01/2013 NA
JUMAPILI 27/01/2013

 
·         Kuelekea Dodoma kwenye Mkutano wa Kumi wa Bunge.
·         Wajumbe.
·     Katibu wa Bunge



TANBIHI:
  • Vikao vitaanza                 saa    3:00   asubuhi
  • Chai                                    saa    4:30  asubuhi 
 RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA ZA JAMII TAREHE 13 -26 JANUARI, 2013

UKUMBI:  TUME YA HAKI ZA BINADAMU
TAREHE/SIKU
SHUGHULI
MHUSIKA
JUMAPILI
13/01/2013
·         Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
JUMATATU
14/01/2013
·         Utawala pamoja na kupitia Ratiba
·         Wajumbe.
·         Sekretarieti

JUMANNE
15/01/2013

·         Kukutana na Taasisi ya Village Education Project Kilimanjaro inayohusika na kuinua matumizi ya Lugha ya Kingereza katika Shule za Msingi

·         Kupata Semina kuhusu Matumizi ya Vyombo vya Habari


·         Wajumbe
·         Taasisi ya Village Education Project Kilimanjaro
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi

·         Wajumbe
·         Legislative  Support Project



JUMATANO
16/01/2013


·         Kutembelea Shule ya Msingi ya St. Joseph - Dar es Salaam


·         Wajumbe.
·         Uongozi wa Shule ya Msingi St. Joseph
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi


ALHAMISI
17/01/2013

·         Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Elimuna Mafunzo ya Ufundi kwa Mwaka 2012/2013



·         Wajumbe.
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi


IJUMAA
18/01/2013

·         Kutembelea na kupata Taarifa ya Utendaji kazi wa Chuo Kikuu cha Afya - Muhimbili (MUHAS)

·         Wajumbe
·         Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi



JUMAMOSI 19/01/2013  NA JUMAPILI 20/01/2013

MAPUMZIKO

·         WOTE


JUMATATU
21/01/2013

·         Kukutana na Chama cha Wataalamu wa Ustawi wa Jamii Tanzania. Tanzania Association of Social Workers (TASWO)


·         Wajumbe
·         TASWO
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii


JUMANNE
22/01/2013


·         Kutembelea na kupokea Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Dar es Salaam. (Government Chemist)


·         Wajumbe
·         Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii



JUMATANO
23/01/2013
 

·         Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kamati katika Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kwa Mwaka 2012/2013
·          

·         Wajumbe
·         Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

ALHAMISI
24/01/2013


·         MAPUMZIKO YA MAULID

·         WOTE


IJUMAA
25/01/2013

  • Kukutana na Chama cha Watabibu wa Dawa Asilia.  Association of Traditional Medicine (ATME)



·         Wajumbe
·         ATME
·         Sekretarieti
JUMAMOSI 26/01/2013 NA
JUMAPILI 27/01/2013

 
·         Kuelekea Dodoma kwenye Mkutano wa Kumi wa Bunge.
·         Wajumbe.
·     Katibu wa Bunge



TANBIHI:
  • Vikao vitaanza                 saa    3:00   asubuhi
  • Chai                                    saa    4:30  asubuhi
  
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA FEDHA NA UCHUMI
RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI TAREHE 13 -26 JANUARI, 2013
 UKUMBI:  MKWAWA, OFISI NDOGO YA BUNGE

TAREHE/SIKU
SHUGHULI

MHUSIKA
JUMAPILI
13/01/2013
·     Kuwasili Dar es Salaam
·      Katibu wa Bunge
JUMATATU
14/01/2013
·     Utawala na kupitia Ratiba

·     Kamati kupatiwa Semina kuhusu ‘Undestanding Public Procurement Process in Tanzania
·      Wajumbe
·      Ofisi ya Bunge
·      Legislatures Support Project 2011/2015
JUMANNE
15/01/2013
·         Kamati kupitia na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa BAJETI YA SERIKALI KWA KIPINDI CHA NUSU MWAKA WA FEDHA WA 2012/2013
·      Wajumbe
·      Waziri wa Fedha
JUMATANO
16/01/2013
·      Kamati kupitia na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa SENSA YA WATU NA MAKAZI 2012.
·      Wajumbe
·      Waziri wa Fedha
·      Ofisi ya Takwimu
ALHAMISI
17/01/2013
·         Kamati kupata Taarifa kuhusu utekelezaji wa Marekebisho ya Muundo wa Ofisi ya Msajili wa Hazina na Sheria ya Msajili wa Hazina.

·         Kamati kupata Taarifa kuhusu utekelezaji wa shughuli za Shirika Hodhi la Mali za Mashirika ya Umma, ‘The Consolidated Holding Corporation’ (CHC) pamoja na kupata Taarifa ya Hali halisi ya Ubinafsishaji na Urekebishaji wa Mashirika ya Umma.
·      Wajumbe

·      Waziri wa Fedha

·      Msajili wa Hazina.

·         CHC
IJUMAA
18/01/2013
·     Kamati kukutana na wamiliki wa viwanda vinavyochangia Pato kubwa la Kodi nchini. Kamati kupata taarifa kuhusu utendaji kazi wao: Mafanikio, Changamoto na Mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo
·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      CTI
·      TPSF
·      Wamiliki wa Viwanda
JUMAMOSI
19/01/2013
·     Kamati kupatiwa Semina kuhusu ‘Effective Public-Private Partnership in Enhancing Social and Economic Proects in Tanzania
·      Wajumbe
·      Ofisi ya Bunge
·      Legislatures Support Project 2011/2015
JUMATATU
21/01/2013
·         Kamati kupewa Semina kuhusu shughuli na Majukumu ya Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (Capital Markerts and Securities Authority)
·      Wajumbe
·      Wizara ya Fedha
·      Kamati ya POAC
·      CMSA

JUMANNE
22/01/2013
·         Kamati kupata taarifa fupi kuhusu utekelezaji wa program ya ‘The Tanzania Long Term Perspective Plan (LTPP) 2011/12-2025/26: The RoadMap to a Middle Income Country’.
·         Wajumbe
·      OR-Mahusiano na Uratibu
·         TUME YA MIPANGO
JUMATANO
23/01/2013
·         Kamati kupitia na kujadili Taarifa ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2013/2014.
·      Wajumbe
·      OR-Mahusiano na Uratibu
·      TUME YA MIPANGO
ALHAMISI
24/01/2013
·     Sikukuu ya Maulid
·      Wajumbe


IJUMAA
25/01/2013
·         Majumuisho ya vikao vya Kamati
·      Wajumbe


JUMAMOSI
26/01/2013
·         Kuelekea Dodoma
·         Wajumbe
·         Katibu wa Bunge



TANBIH:    1) Vikao vitaanza saa 3: 00 Asubuhi, (2) Chai Saa 4:30 - Asubuhi

 KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)
RASIMU YA KUJADILI HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA MAFUNGU
MBALIMBALI KUANZIA TAREHE 07 – 26 JANUARI 2013
UKUMBI: JUMA AKUKWETI -  NDOGO YA BUNGE, DAR ES SALAAM
__________­­­__________________________
SIKU/TAREHE
SHUGHULI
MHUSIKA

Jumapili
06 Januari 2013

Wajumbe kuwasili Dar es Salaam

Katibu wa Bunge


Jumatatu
07 Januari 2013

Shughuli za kiutawala

Sekretarieti

Jumanne
08 Januari 2013

Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mapendekezo ya CAG kwenye Taarifa ya Ukaguzi wa Ufanisi wa Usimamizi wa Utoaji wa Huduma ya Afya ya Msingi.

Afisa Masuuli – Fungu 52 & 56/CAG/AcGen/DGAM/PAC Wajumbe/Sekretarieti



Jumatano
09 Januari 2013

Fungu 18 - Mahakama Kuu

Fungu 40 - Mahakama ya Rufaa


Afisa Masuuli/CAG/DGAM
AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Alhamisi
10 Januari 2013

Fungu 19 - Mahakama za Mwanzo na za Wilaya

Fungu 14 - Idara ya Zimamoto na Uokoaji


Afisa Masuuli/CAG/DGAM
AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Ijumaa
11 Januari 2013

Fungu 44 - Wizara ya Viwanda na Biashara



Afisa Masuuli/CAG/DGAM
AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumamosi na Jumapili
12-13 Januari 2013

MAPUMZIKO



Wote



Jumatatu
14 Januari 2013


Fungu 16 - Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Fungu 41 - Wizara ya Sheria na Katiba


Afisa Masuuli/CAG/
DGAMAcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumanne
15 Januari 2013

Fungu 52 - Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii

Fungu 49 - Wizara ya Maji


Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Jumatano
16 Januari 2012

Fungu 56 - TAMISEMI


Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Alhamisi
17 Januari 2013

Fungu 50 - Wizara ya Fedha

Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Ijumaa
18 Januari 2013

Fungu 21 – Hazina

Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumamosi na Jumapili
19-20 Januari 2013

MAPUMZIKO



Wote

Jumatatu
21 Januari 2013

Fungu 34 – Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumanne
22 Januari 2013

Fungu 43 - Wizara ya Kilimo , Chakula na Ushirika

Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Jumatano
23 Januari 2013

Fungu 99 - Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi


Afisa masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Alhamisi
24 Januari 2013

Fungu 42 - Ofisi ya Bunge

Fungu 45 - Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi


Afisa Masuuli/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti

Ijumaa
25 Januari 2013

Kujadili Majibu ya Hazina kuhusu mapendekezo ya Kamati kwa Hesabu zinazoishia Juni 30, 2010.

PMG/CAG/
DGAM/AcGen/Wajumbe wa PAC/Sekretarieti


Jumamosi
26 Januari 2013


Wajumbe kuelekea Dodoma

Katibu wa Bunge


TANBIHI: 

·         Vikao vyote vya asubuhi vitaanza saa 3:00 Asubuhi.
·         Mapumziko ya Chai ni Saa 5:00 Asubuhi.
·         Maafisa Masuuli waepuke kuambatana na maafisa ambao hawatasaidia katika kujibu hoja.
·         Vitabu viifikie Kamati siku 3 kabla ya siku ya kikao.
·         Kamati itajadili Hesabu zilizokaguliwa za mafungu mbalimbali zinazoishia tarehe 30 Juni 2011.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
KAMATI YA SHERIA NDOGO
               
RASIMU YA RATIBA YA ZIARA YA KAMATI YA SHERIA NDOGO KATIKA MIKOA YA MARA, MANYARA, ARUSHA NA KILIMANJARO KUANZIA TAREHE 07 – 26 JANUARI, 2013

SIKU/TAREHE

MUDA
SHUGHULI/MAHALI
MHUSIKA
JUMATATU
07 Januari, 2013
3:00 – 7:00
Shughuli za Utawala (Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam)
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
JUMANNE
08 Januari, 2013
3:00 – 7:00
Shughuli za Utawala pamoja na wajumbe kufanya maandalizi ya ziara
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
JUMATANO
09 Januari, 2013
3:00 – 7:00
Kuondoka Dar es Salaam (JIA) kuelekea Mara kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
ALHAMISI
10 Januari, 2013
2:15 – 2:45
Kumsalimu Mkuu wa  Mkoa wa Mara (Courtesy Call)
·         Wajumbe
·         RC Mara
3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.       Manispaa ya Musoma
2.       Wilaya ya Musoma
3.       Wilaya ya Bunda
·         Wajumbe
·         RAS Mara
·         Halmashauri
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote
IJUMAA
11 Januari, 2013
3:00 – 6:00

Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.       Wilaya ya Tarime
2.       Mji Tarime
3.       Wilaya ya Rorya
4.       Wilaya ya Serengeti
·         Wajumbe
·         RAS Mara
·         Halmashauri
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote
JUMATATU
14 Januari, 2013
3:00 – 5:00
Majumuisho ya Kamati na Halmashauri zote za Mkoa wa Mara
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Mara

NA
Kuondoka kuelekea Mkoa wa Manyara  kupitia Mwanza na Kilimanjaro
·         Wajumbe
·         RPC
Kilimanjaro
·         RAS Manyara
JUMANNE
15 Januari, 2013
2:15 – 2:45
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Manyara (Courtesy Call)
·         Wajumbe
·         RC Manyara
·         RAS Manyara
3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.       Wilaya ya Babati
2.       Babati Mji  
3.       Wilaya ya Hanang
·         Wajumbe
·         RAS Manyara
·         Halmashauri

6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote

JUMATANO
16 Januari, 2013
3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
4.       Wilaya ya Mbulu
5.       Wilaya ya Simanjiro
6.       Wilaya ya Kiteto
·         Wajumbe
·         RAS Manyara
·         Halmashauri

6:00 – 7:00
MAPUMZIKO

·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote

ALHAMIS
17 Januari, 2013
3:00 – 5:00
Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Manyara
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
6:00
Kuondoka kuelekea Mkoa wa Arusha
·         Wajumbe
·         RPC Arusha
IJUMAA
18 Januari, 2013
2:15 – 2:45
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Courtesy Call)
·         Wajumbe
·         RC Arusha
·         RAS Arusha
3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.       Manispaa ya Arusha
2.       Wilaya ya Monduli
3.       Wilaya ya Arumeru

·         Wajumbe
·         RAS Arusha
·         Halmashauri

6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote
JUMATATU
21 Januari, 2013
3:00 – 5:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.       Wilaya ya Ngorongoro
2.       Wilaya ya Longido
3.       Wilaya ya Karatu
·         Wajumbe
·         RAS Arusha
·         Halmashauri
6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote
7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote
JUMANNE
22 Januari, 2013
3:00 – 5:00
Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa wa Arusha
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
·         Halmashauri
6:00
Kuondoka kuelekea Mkoa wa Kilimanjaro

·         Wajumbe
·         RPC Kilimanjaro
JUMATANO
23 Januari, 2013
2:15 – 2:45
Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro (Courtesy Call)
·         Wajumbe
·         RC Kilimanjaro
·         RAS Kilimanjaro

3:00 – 6:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
1.Manispaa ya Moshi
2.Wilaya ya Moshi
3. Wilaya ya Hai

·         Wajumbe
·         RAS Kilimanjaro
·         Halmashauri


6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote

7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote



ALHAMIS
24 Januari, 2013
3:00 – 5:00
Kupokea Taarifa Kuhusu Mchakato wa Utungwaji na Matumizi ya Sheria Ndogo Mbalimbali katika Halmashauri  ya:-
  1. Wilaya ya Mwanga
  2. Wilaya ya Rombo
  3. Wilaya ya Same
·         Wajumbe
·         Halmashauri
·         RAS Kilimanjaro

6:00 – 7:00
MAPUMZIKO
·         Wote

7:00 – 8:00
MAJADILIANO
·         Wote
IJUMAA
25 Januari, 2013
3:00 – 5:00
Majumuisho ya Kamati pamoja na Halmashauri zote za Mkoa waKilimanjaro
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
·         Halmashauri
JUMAMOSI
26 Januari , 2013

Kuondoka Kilimanjaro kuelekea Ofisi Ndogo ya Bunge, Dar es Salaam
·         Wajumbe
·         Sekretarieti

JUMAPILI
27 Januari , 2013

Kuondoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma
·         Wajumbe
·         Sekretarieti


TANBIH
·         Muda uko katika saa kwa Kiswahili
·         Vikao vitaanza saa 3:00 asubuhi

                    RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA
BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA MAJI
TAREHE 13- 26 JANUARI,  2013

UKUMBI:  OFISI YA MAKAMU WA RAIS 


SIKU
TAREHE



SHUGHULI


WAHUSIKA

JUMAPILI
13/01/2013


·         Wajumbe kuwasili Dar es Salaam

·         KATIBU WA BUNGE


JUMATATU
14/01/2013
·         Kupitia ratiba
·         Shughuli za utawala
·         Wajumbe
·         Sekretarieti
JUMANNE
15/01/2013


·         SEMINA
·         Wajumbe
·         WB
JUMATANO
16/01/2013


  • Kupokea na kujadili Taarifa za utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2012/2013 kwa kipindi cha nusu Mwaka na mipango kwa Mwaka unaofuata


·        Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika




ALHAMISI
17/01/2013

·         Kupokea na kujadili Taarifa za utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2012/2013 kwa kipindi cha nusu Mwaka na mipango kwa Mwaka unaofuata
·   Wajumbe
·   Wizara ya maji


IJUMAA
18/01/2013
·         Kupokea na kujadili Taarifa za utekelezaji wa Bajeti ya Mwaka wa Fedha 2012/2013 kwa kipindi cha nusu Mwaka na mipango kwa Mwaka unaofuata
·         Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
JUMAMOSI
19/01/2013

·         SEMINA
·         Wajumbe
·         PLS
 JUMAPILI
20/01/2013
MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI



·         Wajumbe


JUMATATU
21/01/2013


Kundi A
 Kusafiri kuelekea Mbeya  na kumsalimu mkuu wa mkoa
 Kundi B
Kusafiri kuelekea Mtwara na kumsalimu mkuu wa mkoa

·         Wajumbe
·         Sekretarieti
·         RAS- Mtwara
·         RAS – Mbeya
·         Wizara ya Kilimo,Chakula na Ushirika
JUMANNE
22/01/2013
KUNDI A
·         Kutembelea shamba la chai Tukuyu-Mbeya

KUNDI B
·         Kutembelea  kituo cha utafiti Naliendele- Mtwara

·         Wajumbe
·         Sekretarieti
·          
JUMATANO
23-/01/2013

KUNDI A
Kutembelea shamba la mifugo - kitulo
KUNDI B
·         Kutembelea Marine reserve ya Mnazi Bay


·         Wajumbe
·         Sekretarieti
ALHAMISI
24/01/2013
·         Sikukuu ya Maulid
·     Wajumbe
IJUMAA 
25/01/2013
KUNDI A
·         Kutembelea maeneo ya kilimo cha Mpunga Mbarali, kyela
·         Kusafiri kuelekea Dar
KUNDI B
·         Kusafiri Kuelekea Dar
·         Wajumbe
·         Sekretarieti


BUNGE LA MUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA
__________________________________
RATIBA YA HALMASHAURI ZITAKAZOHOJIWA NA KAMATI KWA KIPINDI CHA MWEZI JANARI, 2013, HESABU ZA MWAKA WA FEDHA WA 2010/11, OFISI NDOGO YA BUNGE, DAR ESA SALAAM, UKUMI WA AUSTIN SHABA

SIKU/TAREHE
HALMASHAURI/KAZI
MHUSIKA
14 Jan. 2013
Shughuli za Kiutawala (Registration and Briefing)
Katibu wa Bunge
15 Jan. 2013
Rory DC
Serengeti DC
1.       LAAC
2.       NAOT
3.       TAMISEMI
4.       ACGEN
5.       HAZINA
6.       Menejimenti ya Halmashauri iliyoitwa
16 Jan. 2013
Musoma MC
Shinyanga MC

17 Jan. 2013
Bukombe DC
Maswa DC

18 Jan. 2013
Kahama DC
Bariadi DC

21 Jan. 2013
Misenyi DC
Nachingwea DC

22 Jan. 2013
Liwale DC
Kilwa DC
Lindi DC

23 Jan. 2013
Chato
Geita DC

24 Jan. 2013
Sengerema DC
Ukerewe DC

25 Jan. 2013
Mbulu DC
Babati TC

26 & 27 Jan.2013
Wajumbe kuelekea
Dodoma
Katibu wa Bunge
TANBIHI:
1.       Vikao vyote vitakuwa vinaanza saa 3:00 asuhuhi
2.       NAOT = National Audit Office
3.       CC = City Council, DC = District Council, MC = Municipal council, TC =township Council
4.       Vikao vyote vitagharamiwa na Ofisi ya Bunge SIYO Halmashauri
5.       Taarifa zote zitakazowasilishwa na Halmashauri kwenye Kamati SHARTI zikaguliwe na NAOT
6.       Ni wajibu wa kila Halmashauri kuwajulisha Wabunge walio katika eneo lake la utendaj kuhusu kuwepo kwa vikao hivi.
7.       Taarfia za Halmashauri zita wasilishwa kwa Katibu wa Kamati siku Tano kabla ya tarehe ambayo Halmashauri husika itahojiwa na Kamati.
8.       Halmashauri iliyo ya kwanza kuandikwa katika Ratiba hii ndiyoitakayokuwa ya kwanza kuhojiwa labda kama itaelekezwa vingenevyo na Kamati yenyewe.


RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAENDELEO YA JAMII KUANZIA TAREHE 13 – 25 JANUARI 2013


UKUMBI: GEORGE M. NHIGULA – OFISI YA BUNGE DAR ES SALAAM

TAREHE
SHUGHULI ZITAKAZOFANYIKA
WAHUSIKA
Jumapili
13/01/2013
  • Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
  • Wajumbe
  • Katibu wa Bunge
Jumatatu
14/01/2013
  • Utawala
  • Kupitia Ratiba
  • Wajumbe
  • Sekretarieti
Jumanne
15/01/2013
·         Kikao cha pamoja kati ya Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Kamati ya POAC  na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo juu ya Mkataba wenye utata wa Star Media –TBC
·         Semina toka mradi wa Legislative Support (Madia management and  effectiveness of Media Operations in Tz)
·         Wajumbe
·         Kamati ya POAC
·         Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo

Jumatano
16/01/2013
  • Wajumbe kuelekea Mwanza ( Asubuhi)
  • Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
  • Kutembelea Kiwanda cha minofu( Tanzania Fish Processor Limited) kuona namna sheria, kanuni na taratibu za kazi zinavyotekelezwa
  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
  • RAS
  • Tanzania Fish Processor Limited
Alhamisi
17/01/2013
  • Kutembelea Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Malya (Mwanza)
  • Kutembelea Chuo cha Michezo Malya

  • Wajumbe
  • Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto
  • Wizara ya Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo.
Ijumaa
18/01/2013
  • Kutembelea kituo cha Redio Mwanza (Radio Free Africa)
  • Kutembelea  Kituo cha Kurushia Matangazo na Tv cha Star Times (Mchana)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
 Jumamosi
19&20/01/2013  Jumapili

  • Mapumziko ya Mwisho wa wiki

·         Wajumbe
Jumatatu
21/01/2013
·         Wajumbe kuelekea  Geita (Asubuhi)
·         Kumsalimu Mkuu wa Mkoa wa Geita
  • Wajumbe

  • RAS
Jumanne
22/01/2013
  • Wajumbe kutembelea mgodi wa Geita Gold Mine kwa lengo la kuangalia sheria na usalama mahali pa kazi kama vinazingatiwa pamoja kuona kama bado kuna utumikishwaji wa watoto katika migodi.
  • Wajumbe Kurudi Mwanza Mjini (Mchana)
  • Wajumbe
  • Wizara ya Kazi na Ajira
  • GGM
Jumatano
23/01/2013
·         Kusafiri kurudi Dar es Salaam
  • Wajumbe

Alhamisi
24/01/2013
  • Mapumziko ya Maulid
  • Wote

Ijumaa
25/01/2013
  • Majumuisho ya Kazi zote zilizofanywa na Kamati
  • Wajumbe
Jumamosi
26/01/2013
na Jumapili
27/01/2013
  • Kusafiri kuelekea Dodoma
Wajumbe

Tanbihi:
Vikao vyote vitaanza saa 3.00 asubuhi.

 RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA MWEZI JANUARI, 2013
UKUMBI: PIUS MSEKWA -OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM
TAREHE

SHUGHULI
WAHUSIKA
Jumatatu
14/01/ 2013
§  Shughuli za Utawala
§  Kujipanga kwa ajenda za vikao
§  Wajumbe
Sekretarieti
Jumanne
15/01/ 2013
§  Kupitia na kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama nchini  kwa kipindi cha Julai -  Desemba, 2012
§  Waziri/ OR-UB
§  Wajumbe
Jumatano
16/01/ 2013
§  Kupokea na kujadili Taarifa ya Hali ya ushirikiano wa Kimataifa na diplomasia duniani hadi kufikia Mwezi Desemba, 2012 pamoja na juhudi za Serikali kujiimarisha kidiplomasia.
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kwa kipindi cha Nusu ya mwaka wa fedha 2012/2013
§  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
§  Wajumbe

Alhamis
17/01/ 2013
§  Kutembelea Gereza la Segerea
§  Waziri /Mambo ya Ndani
§  Wajumbe
Ijumaa
18/01/ 2013
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya APRM Tanzania
§  APRM
§  Wajumbe
Jumamosi-
Jumapili
19-20/01/2013
§  M a p u m z i k o

Jumatatu
21/01/ 2013
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama  nchini kwa kipindi cha Julai hadi Desemba, 2012
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa  kwa kipindi cha Nusu ya mwaka wa fedha 2012/2013
§  Waziri /Mambo ya Ndani
§  Wajumbe
Jumanne
22/01/ 2013
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Hali ya Ulinzi na Usalama  nchini kwa kipindi cha Septemba hadi Desemba, 2012
§  Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya
  Wizara ya Ulinzi na JKT  kwa  kwa kipindi cha Nusu ya mwaka wa fedha 2012/2013
§  Waziri  wa Ulinzi na JKT

Jumatano
23/01/ 2013
Kukutana na Mabalozi wa nchi  Wanachama wa EU
§  Wajumbe
§  Mabalozi
Alhamisi
24/01/ 2013
Kukutana na Mabalozi wa nchi  Wanachama  wa EU
§  Wajumbe
§  Mabalozi
Ijumaa
25/01/ 2013
§  Majumuisho
§  Wajumbe
Jumamosi
Jumapili
26-27/01/ 2013

§  Safari kuelekea Dodoma

Katibu wa Bunge
TANBIHI: Vikao vitaanza Saa 4.00 Asubuhi


 RATIBA YA KAZI ZA KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU MWEZI JANUARI, 2013

UKUMBI: PHILIP MARMO – OFISI YA BUNGE DAR ES SALAAM

SIKU/TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
JUMAPILI
13/01/2013
Kuwasili Dar es salaam
Ofisi ya Bunge
JUMATATU
14/01/2013
Shughuli za Utawala
Ofisi ya Bunge
JUMANNE
15/01/2013
·         Kupokea taarifa ya utendaji wa shirika la  ndege Tanzania (ATCL)
·         Semina ya LSP
·         Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi
·         Ofisi ya Bunge
JUMATANO
16/01/2013
Kupokea taarifa kuhusu Utendaji wa SUMATRA
Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi
ALHAMISI
17/01/2013
Kupokea taarifa ya utendaji wa mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)
Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi
IJUMAA
18/01/2013
Kupokea Taarifa kuhusu  Uboreshaji wa reli ya Kati
Wajumbe/Wizara ya Uchukuzi
J’MOSI NA J’PILI   19-20/01/2013
Mapumziko
Wajumbe
JUMATATU
21/01/2013
Kupokea taarifa  ya utendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA)
Wajumbe/Wizara ya MST
JUMANNE
22/01/2013
Kupokea taarifa ya Utendaji wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCAF)
Wajumbe/Wizara ya MST
JUMATANO
23/01/2013
Kupokea taarifa ya utendaji wa Baraza la Taifa la Ujenzi
Wajumbe/Wizara ya Ujenzi
ALHAMISI
24/01/2013
Kupokea taarifa ya utendaji wa Bodi ya Mfuko wa Barabara
Wajumbe/Wizara ya Ujenzi
IJUMAA
25/01/2013
Majumuisho
Wajumbe
26/01/2013
Kuelekea Dodoma
Wajumbe

 RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA NA BIASHARA 13-27 JANUARI, 2013              

TAREHE/SIKU
SHUGHULI
MHUSIKA
JUMAPILI
13/01/2013

·         Kuwasili Dar es Salaam
·         Katibu wa Bunge
JUMATATU
14/01/13

SAA 3-6 ASUBUHI

·         Utawala pamoja na kupitia Ratiba
·         Wajumbe.

JUMATATU
14/01/13
SAA 6-9 MCHANA
  • Kuhudhuria Semina ya LSP
·         Wajumbe

JUMANNE
15/01/13

·         Kupokea na Kujadili Taarifa ya Utendaji TIRDO
·         Wajumbe

·         Wizara ya Viwanda na Biashara

·         TIRDO
JUMANNE
15/01/13
SAA 6-9 MCHANA
·         Kuhudhuria Semina ya LSP
·         Wajumbe wa Kamati

JUMATANO
16/01/13

·         Kutembelea Kiwanda cha Family Soap (Mbezi)
·         Wajumbe wa Kamati
·         Family Soap
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
ALHAMISI
17/01/13

·         Kujadili na kutoa mapendekezo juu ya kumaliza mgogoro wa LABSA

·         Wajumbe.
·         Wizara ya Viwanda na Biashara

IJUMAA
18/01/13
  • Kutembelea kiwanda Cocacola Kwanza na Tanzania Distillers Ltd
·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         Nyanza Bottlers
JUMAMOSI NA JUMAPILI

  • MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI

·         WOTE

JUMATATU
21/01/13
Saa  3.00-6.00
  • Kupokea na kujadili Taarifa ya Utendaji wa  TANTRADE
·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         TANTRADE


Saa 7.00- 9.00 mchana
  • Kutembelea kiwanda cha Tanzania Breweries Limited (TBL)
·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         TBL

JUMANNE
22/01/13

SAA 3- 6 ASUBUHI
  • Kupokea na Kujadili majibu ya Utekelezaji wa  Taarifa ya  Kamati ya mwaka  2011/12 pamoja na kupokea na Kujadili majibu ya Utekelezaji wa Taarifa ya kamati ya Bajeti ya 2012/13
·         Wajumbe

·         Wizara ya Viwanda na Biashara

JUMANNE
22/01/13
SAA 6-9 MCHANA

  • Kupokea Mpango Mkakati wa Wizara ya Viwanda na Biashara juu ya Kufufua Viwanda nchini hususan viwanda vya Ngozi na Nguo

·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara

JUMATANO
23/01/13
Saa Tatu Asubuhi

 
  • Kupokea na kujadili Taarifa ya Utendaji wa BRELA
·         Wajumbe
·         Wizara ya Viwanda na Biashara
·         BRELA
JUMATANO
23/01/13
Saa sita mchana
  • Kutembelea Kiwanda cha Majani ya chai cha Tanzania Tea Blenders ( TTB)-Gerezani

·         Wajumbe
·         Wizara  ya viwanda na Biashara
·         TTB
ALHAMISI
24/01/13

  • SIKUKUU YA MAULIDI
WOTE

IJUMAA
25/01/13

  • Majumuisho

·         WOTE

JUMAMOSI 26/01/13  NA
JUMAPILI
27/01/13

 
·         Kuelekea Dodoma
·         Wajumbe.
·     Katibu wa Bunge

TANBIHI:
  • Vikao vitaanza                 saa    3:00   asubuhi
  • Chai                                    saa    4:30  asubuhi








No comments:

Post a Comment