Sunday, December 16, 2012

Frank Optatus Komba na Sanura Haji Kihemka wameremeta


 Wadau kibao katika mnuso wa nguvu katika kiota cha maraha cha Stallion Garden Mikocheni Mlalakuwa jijini Dar es salaam baada ya Frank Optatus Komba na Sanura Haji Kihemka kumeremeta usiku wa kuamkia leo
 msosi tyme...
 wadau wakijichana
 wadau
 Missie Popular ndani
 wadau
 Wadau kibao
 Wafanyakazi wenzie Bw Harusi wakila pozi
 Mapozzzzz
 MC Mang'enya ndani ya nyumba
 mmmmmwwwwwwwaaaaaaa.....
 Dunia njema wawili wawili
 Wapendanao Frank na Sanura wakifungua muziki kwa furaha
 Kitambaa cheupe mama.... oooo ziboraaaa....
 Ni wakati wa kwaito
 Mwanamke tabasamu babu....
 Pozi na wadau
 Wadau
 Maharusi waklisalimia wadau
 Furaha na wadau
 Wadau na maharusi
 Meza kuu ikifanya chiaaaazzzzzzzz....
 Smile la nguvu....
 Mapozi na wadau wa karibu wa maharusi
 Wadau wakila pozi na maharusi
 Wafanyakazi wenzie Bw harusi
 Ankal Funto na bintiye wakila pozi
 Meza ya wadau wa Sanura
 Kadi ya pongezi ikiandaliwa
 Familia
 Dada akitioa mawaidha kwa maharusi
 Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Salva akiongoza wafanyakazi wenzie Sanura kwenda kumpa zawadi na pongezi
 Meza ya wazaa chema
 Kadi ikipelekwa
 Wafanyakazi wenzie Sanura wakienda kumnpongeza
 Pongezi maharusi
 Ankal akijimwayamwaya na maharusi
  Salva akitoa neno kwa niaba ya wafanyakazi wenzie Sanura
 Salva akiwapongeza maharusi na wapambe wao
Salva akiwa na maharusi na wafanyakazi wenzie
 Hongera na muziki
 Wafanyakazi wenzie Bi Harusi wakimpongeza Sanura
 Meza ya wajomba
 Hongera shosti....
 Bw Harusi akitambulisha familia yake
 Wapambe
 Meza ya wafanyakazi wenzake na Bi Harusi
Msosi wa nguvu...hamna noma wala nini....

2 comments:

  1. Nashukuru Sana Shughuli ya causin wangu imefanyike vizuri sana.MiE NI DADA YAAKE MBAYE NIKO SOTH AFRIKA NASIKITIKA SANA SIKUWEZA KUHUDHURIA SHUGHURI HII LAKINI MWENYEZI MUNGU ALIKUWA PAMOJA NASI SOTE,,NAPENDA KUMPONGEZA SANA FRANK KWA HATUA YA KIMAISHA ALIYOFIKIA.NAWAOMBEA MWENYEZI MUNGU AWALINDE KATIKA MAISHA YENU YA RAHA KATIKA NDOA..SIRI PEKEE YA NDOA NI KUPENDANA NA KUMTANGULIZA MUNGU KWA SALA KILA SIKU MKIAMKA NA MKIENDA KULALA NA MWASILIANO PIA NI KITU CHA BUSARA SANA.MUNGU AWALINDE TUTAONANA NEXT WEEK.I LOVE YOU.

    ReplyDelete
  2. Hongereni sana ni jambo jema na lenye baraka though sikuweza kuhudhuria au kushiriki lkn numefurahi Sanura ni rafiki yangu ambaye tumepitia nae mengi so nafarijika kumuona amepiga hatua nzuri ya kimaisha. Nawaombea kheri, upendo, amani na mafanikio ktk ndoa yenu.

    ReplyDelete