Saturday, October 27, 2012

mahafali ya kidato cha nne ya claudia mapalala

 Baba Mzazi akiwa wa Claudia  akiwa katika pozi na mwanae wakati wa hafla ya mahafali ya kidato cha Nne.st.Joseph Millenium jijini Dar es Salaam.
 Claudia Mapalala mwenye Joho akiwa na Wazazi wake kutoka kulia ni baba yake Celestine Maufi na Mama Yake Sarah  wa tatu na Dada Yake Emmy Kimwaga wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kusherehekea Mahafali ya kumaliza kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya St,.Joseph Millenium ya Goba jijini Dar es Salaam.
 Keki aliyoandaliwa na Claudia M,Maufi wakati wa hafla yake ya kumaliza kidato cha Nne.
 Baba Mzazi wa Claudia ,Celestine Maufi akilishwa keki na mwanae.
 Mama Mzazi wa Claudia   akimlisha keki mwanae wakati wa hafla ya kumaliza Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari ya ST.Joseph jijini Dar es Salaam.
 MAMA Mzazi wa Claudia  akiwa na mwanae katika picha ya pamoja wakati wa hafla ya kumaliza kidato cha Nne.
 Claudia  akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Celestine na mama yake Sarah  wakati wa hafla ya kumpongeza wakati alipohitimu kidato cha Nne katika Sekodari ya St.Joseph iliyopo Goba jijini Dar es Salaam.
Claudia Maufi akiwa katika picha ya pamoja na wazazi wake Celestine Maufi na mama yake Sarah  wakati wa hafla ya kumpongeza wakati alipokuhitimu kidato cha Nne katika Sekodari ya St.Joseph iliyopo Goba jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment