Friday, September 7, 2012

Waziri Mkuu apitisha chekeche kwa wakurugenzi wa halmashauri


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo P. Pinda amewavua madaraka Wakurugenzi Sita, ameteua Kaimu Wakurugenzi sita, Wakurugenzi Wapya kumi na nne, na kuwahamisha Wakurugenzi ishirini na saba kutoka katika vituo vyao kutokana na sababu mbalimbali.

Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na kuonyesha Udhaifu katika kutekeleza majukumu, kustaafu, kujaza nafasi zilizo wazi katika Halmashauri Mpya zilizoanzishwa hivi karibuni na wengine wamebadilishiwa majukumu na kurejezwa katika kazi zao za awali.

Orodha ya majina ya Wakurugenzi hao, maeneo wanayotoka na sababu za mabadiliko ni kama ifuatavyo:-

(a)      Wakurugenzi waliovuliwa Madaraka

Na.
Jina
Halmashauri anayotoka
Maelezo
1.
Bw. Willy J. Njau
Mwanga DC
Aliomba kurejeshwa katika majukumu yake ya awali kutokana na sababu za kiafya.
2.
Bw. Mpangalukela Tatala

Geita DC
Kushindwa kusimamia Rasilimaliwatu na fedha.
3.
Bw. Theonest Nyamhanga
Kishapu DC
Kushindwa kusimamia
Rasilimaliwatu na Rasilimali Fedha.
4.
Bw. Eden Munisi
Morogoro DC
Kuisababishia Halmashauri kupata Hati chafu na kushindwa kusimamia Rasilimali pamoja na uzembe.
5.
Bw. Mhando H. Senyagwa
Kyela DC
Ana kesi Mahakamani
6.
Bw. Nicholaus Kileka
Ngorongoro DC
Alikuwa na kesi iliyoendeshwa na TAKUKURU

                                   
(b)     Wakurugenzi wapya wanaoteuliwa kujaza nafasi wazi

Na.
Halmashauri
Jinsia
Taaluma /Cheo
Halmashauri
Atokayo
Aendayo
1.
Abdalah A. Kidwanka
ME
 Afisa Ardhi
Mufindi DC
Geita DC Kaimu
2.
Rutius D. Bilakwata
ME
DPLO
Kishapu DC
Kishapu DC Kaimu
3.
Naomi N. Nko
KE
DEO - Kaimu DED
Mpanda DC
Magu DC
4.
Abdalah I. Mfaume
ME
DPLO
Ukerewe DC
Kyela DC
5.
Twalib A. Mbasha
ME
Kaimu DED
Monduli DC
Monduli DC Kaimu
6.
Henry R. Ruyagu
ME
Mhandishi – DC
Urambo DC

Urambo DC Kaimu
7.
Adam I. Mgoyi
ME
CIA
Ofisi ya Mwanasheria wa Serikali
Mbarali DC
8.
Estomih F. Chang’a
ME
Kaimu DED
Arusha MC
Mpanda DC
9.
Leti Shuma
KE
DPLO
Kibaha DC
Mwanga DC
10.
Mohamed A. Maje
ME
DEO
Kilosa DC
Namtumbo DC
11.
Fulgency Mponji
ME
DEO
Songea MC
Moshi DC
12.
Robert Nehata
ME
DCO
Njombe DC
Tunduru DC
13.
Isabela O. Chilumba
KE
DHRO
Morogoro MC
Kahama DC
14.
Fikiri Malembeka
ME
DPLO
Kilombero DC
Sengerema DC
15.
Isabela D. Chilumba
KE
DALDO
Tandahimba DC
Ulanga DC
16.
Nasib Mbaga
KE
DPLO
Mufindi DC
Biharamulo DC
17.
Iddi Nganya
ME
DHRO
Nzega DC
Makete DC Kaimu
18.
Jovin Jungu
ME
TEO
Masasi TC
Chamwino DC Kaimu
19.
Paul S. Malala
ME
DPLO
Iringa MC
Njombe DC
20.
Felix P. Mabula
ME
Mhasibu
Bukombe DC
Hanang DC Kaimu

(c)       Wakurugenzi  wanaohamishwa ili kujaza vituo wazi

NA.
JINA KAMILI
JINSI
TAALUMA /CHEO
HALMASHAURI
ATOKAYO
AENDAYO
1.
Bi. Bibie Mnyamagola
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Kilindi DC
Kongwa DC
2.
Daudi R. Mayeji
ME
Mkurugenzi Mtendaji
Chamwino DC
Kilindi DC
3.
Bw. Protace T. Magayane
ME
Mkurugenzi Mtendaji
Igunga DC
Nkasi DC
4.
Bi. Saada Mwaruka
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Nkasi DC
Mkuranga DC
5.
Sipora J. Liana
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Mkuranga DC
Tabora MC
6.
Hadija Makuwani
KE
Mkurugenzi wa Manispaa
Tabora MC
Tabora DC
7.
Bi. Doroth Anatoli Rwiza
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Tabora DC
Kasulu DC
8.
Kelvin Makonda
ME
Mkurugenzi Mtendaji
Kasulu DC
Lindi MC
9.
Pudenciana Kisaka
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Ulanga DC
Iringa DC
10.
Tina Sekambo
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Iringa DC
Makambako TC
11.
Beatrice  R. Dominic
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Bukoba DC
Masasi DC
12.
Gladyness Ndyamvuye
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Masasi DC
Bukoba DC
13.
Nathan Mshana
ME
Mkurugenzi wa Manispaa
Musoma MC
Ngorongoro DC
14.
Cornel Ngudungi
ME
Mkurugenzi Mtendaji
Magu DC
Ngara DC
15.
Mohamed Mkupete
ME
Mkurugenzi Mtendaji
Njombe DC
Mtwara MC
16.
Dr. Koroine Ole Kuney
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Ngorongoro DC
Misungwi DC
17.
Ephraem Ole Nguyaine
Me
Mkurugenzi Mtendaji
Tunduru DC
Rorya DC
18.
Goody Pamba
KE
Mkurugenzi Mtendaji
Hanang DC
Igunga DC
19.
Fidelis Lumato
ME
Mkurugenzi
Tarime DC
Ludewa DC
20.
Athuman O.
ME
Mkurugenzi
Kongwa DC
Tarime DC
21.
Ahmad S. Sawa
ME
Mkurugenzi wa Mji
Lindi TC
Musoma MC


WakurW

(d)     Wakurugenzi wanaohamishwa kwenda kwenye Halmashauri mpya.

Na.
Jina Kamili
Jinsia
Taaluma /Cheo
Halmashauri
Atokayo
Aendayo
1.
Magreth Nakainga

KE
DED
Mtwara MC
Geita TC
2.
Eliza Bwana
KE
DED
Kahama DC
Bariadi TC

3.
Zuberi Mbyana
ME
DED
Biharamulo DC
Ilemela MC

4.
Mohamed Nanyanje
ME
DEO (SEC)
Sumbawanga MC
Masasi TC
5.
Erica Musika
KE
DED
Sengerema DC
Kahama TC

6.
Imelda Ishuza
KE
DED
Makete DC
Busokelo DC

Serikali haitasita kuchukua hatua mbalimbali pale inapobidi ili kuboresha utendaji kazi na kuwafanya watumishi wawajibike katika majukumu yao ipasavyo.


IMETOLEWA NA:

                                                                                

MHE. HAWA A. GHASIA (MB)
WAZIRI WA NCHI - OFISI WAZIRI MKUU
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA

No comments:

Post a Comment