Sunday, July 22, 2012

Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU), Mhe. José Manuel Barroso atembelea CCBRT

  Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni mlezi wa Hospitali ya CCBRT Mhe. Anne Makinda akimkaribisha Rais wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya Mhe. Jose Manuel Barroso alipowasili Hospitalini hapo leo kujionea shughuli za 
  Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT Dkt Wilbrod Slaa  akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo Dr Erwin Telemans (kati) pamoja na Spika Makinda.
 Rais Barosso akisaini kitabu cha wageni
 Rais Barosso na wenzie wakipata muhtasari wa hospitali hiyo
 Mkurugennzi akiwatambulisha wagonjwa.
 Baadhi ya wanaopata huduma CCBRT.
 Baadhi ya wanaopata huduma CCBRT.
 Baadhi ya wanaopata huduma CCBRT.
 Baadhi ya wanaopata huduma CCBRT.
 Baadhi ya wanaopata huduma CCBRT.
 Wagonjwa waliotibiwa na kupona fistula.
 Mpango wa Upanuzi wa Hospitali ya CCBRT
 Watoto Dema Emmanuel (6) na Goodson George (16) wakimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya ‘gari’
Rais wa Umoja wa Ulaya akiondoka 
 Wakimuaga kiongozi huyo.
  Picha ya pamoja

2 comments:

  1. Jamani hii hospitali inatoa msaada mkubwa sana kwa watu especially watoto nimetumia huma yao na mungu awabariki watu wa pale wako so luvly kwa kweli ni wavumilivu sana na hula za watu maan wengine wanatoka vijiini tusaidiane kama kuna watu wana matatizo ya watoto wawapeleke pale unapata msaada mzuri tu

    ReplyDelete
  2. Nice to see this relationship, keep it up

    ReplyDelete