Wednesday, May 16, 2012

SPIKA WA BUNGE AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA ENEO LA KUMBUKUMBU LA BOMU LA ATOMIKI LA HIROSHIMA NCHINI JAPAN

 Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akioneshwa na Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima  Mhe. Aramoto  sehemu maalum ya kuweka mashada kwa lengo la kuwakumbuka Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 ambapo inakadiliwa jumla ya watu 66,000 walifariki. Mhe. Spika na Ujumbe wa Wabunge 5 kutoka Tanzania walitembelea Mji huo kwa mwaliko maalum wa Bunge la Japan
 Mhe. Spika akikabidhiwa Shada la Maua kwa lengo la kwenda kuweka shemu hiyo

 Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimsindikiza  Spika Anne Makinda kwenda kuweka Shada la maua katika mnara wa kumbukumbu wa Wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 
 Wakitoa Heshima zao kabla ya kuweka Shada
 Spika wa Bunge Mhe Anne Makinda akiweka shada la Maua katika Mnara wa Kumbukumbu   ya wananchi wa Japan waliopoteza Maisha katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 ambapo inakadiliwa jumla ya watu 66,000 walifariki. Mhe. Spika na Ujumbe wa Wabunge 5 kutoka Tanzania walitembelea Mji huo kwa mwaliko maalum wa Bunge la Japan
 Naibu Meya wa Mji wa Hiroshima Mhe. Aramoto akimuonesha Mhe. Spika na wabunge aliongozana nao sehemu mbalimbali katika Mnara huo zenye majina ya wajapani waliofaraiki katika Mlipuko wa Bomu la Atomiki lililolipuliwa katika mji huo tarehe 6 Agasti, 1945 ambapo inakadiliwa jumla ya watu 66,000 walifariki. Mhe. Spika na Ujumbe wa Wabunge 5 kutoka Tanzania walitembelea Mji huo kwa mwaliko maalum wa Bunge la Japan

No comments:

Post a Comment