Tuesday, May 22, 2012

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA
MASUALA YA UKIMWI KUANZIA 13 - 25 MEI, 2012
__________________________

UKUMBI: MKWAWA
____________



TAREHE/SIKU
KAZI ZA KUFANYA
WAHUSIKA

JUMAPILI
13/05/2012
Wajumbe kuwasili Dar es Salaam
·         Wajumbe
·         Katibu wa Bunge

JUMATATU
14/05/2012
·         Shughuli za Utawala
·         Kupitia Ratiba
·         Wajumbe
·         Sekretarieti Wajumbe


JUMANNE
15/05/2012
Kutembelea miradi ya Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) iliyo chini ya programu ya Mwitiko wa Jamii Dhidi ya UKIMWI(MJADU)
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         TASAF
·         TACAIDS

JUMATANO
16/05/2012
Kukutana na Shirika la Health Development Trust na kujadili Taarifa kuhusu programu mbalimbali za Shirika kuhusu Masuala ya UKIMWI, mafanikio na changamoto.
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         Health Development Trust
·         TACAIDS

ALHAMISI
17/05/2012
Kukutana na Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) kujadili Taarifa ya kujitoa kwa baadhi ya wafadhili wa Masuala ya UKIMWI na Mipango ya Serikali kuziba pengo hilo.

Kukutana na Shirika lisilo la Serikali la SIKIKA na kujadili masuala yanayohusu bajeti inayotengwa na Serikali kwa ajili ya Masuala ya UKIMWI
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         SIKIKA
·         TACAIDS


IJUMAA
18/05/2012
Kukutana na MEWATA (Medical Women Association of Tanzania) kujadili taarifa kuhusu shughuli za Chama hususan katika Masuala ya UKIMWI, Mafanikio na Changamoto.


Kukutana na International Center for AIDS Care and Treatment Programs (ICAP) na kupokea taarifa kuhusu kazi zinazofanywa na Shirika hili hususan katika masuala ya UKIMWI

·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         MEWATA
·         ICAP
·         TACAIDS

JUMAMOSI&JUMAPILI
19&20/05/2012
·         MAPUMZIKO YA MWISHO WA WIKI
WOTE

TAREHE/SIKU
KAZI ZA KUFANYA
WAHUSIKA

JUMATATU
21/05/2012
Kukutana na Taasisi ya Wanawake na     Maendeleo (WAMA) kujadili Taarifa kuhusu shughuli za Taasisi hususan katika Masuala ya UKIMWI, mafanikio na Changamoto
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         WAMA
·         TACAIDS

JUMANNE
22/05/2012
Kutembelea gereza la SEGEREA kupata   taarifa kuhusu hali halisi ya UKIMWI katika gereza hilo
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
·         Mkuu wa gereza la Segerea
·         TACAIDS
JUMATANO
23/05/2012
Kukutana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu cha Mzumbe na kupokea taarifa kuhusu hali halisi ya UKIMWI chuoni (watumishi na wanafunzi)
·         Wajumbe
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
·         Chuo Kikuu cha Mzumbe
·         TACAIDS

ALHAMISI
24/05/2012

Kukutana na Ofisi ya Makamu wa Rais Kujadili na Kupata Taarifa kwa jinsi Ofisi ya Makamu wa Rais inavyoratibu mapambano dhidi ya UKIMWI mahali pa kazi

·         Wajumbe
·         Ofisi ya Makamu wa Rais
·         Ofisi ya Waziri Mkuu
·         TACAIDS

IJUMAA
25/05/2012


·         MAJUMUISHO
·         Wajumbe

·         Sekretarieti


JUMAMOSI&JUMAPILI
26&27/05/2012
MAPUMZIKO
·         WOTE



TANBIHI: Vikao vyote vya Kamati vitaanza saa 3.00 Asubuhi

No comments:

Post a Comment