Tuesday, April 10, 2012

Makamu wa Rais aongoza waombolezaji kwenye kuaga mwili wa Marehemu Steven Kanumba

 Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal akiwasili kwenye viwanja vya Leaders Club asubuhi hii.
 Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwasili viwanjani hapa.
 Viongozi mbali mbali wapo kwenye shughuli hii ya kumuaga marehemu Steveen Kanumba.
 Mdogo wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapo.
 Mama Mzazi wa Marehemu Kanumba akiwasili viwanjani hapa.
 msafara wa Makamu wa Rais.
 Mdau Athuman Khamis pia amehudhulia shughuli hii.
 Dada wa Marehemu Kanumba akisaidiwa kubebwa mara baada ya kuishiwa nguvu wakati akiwasili viwanjani hapa.
Viongozi wakuu wa Serikali.
 watu wengi wamehudhulia shughuli hii.
 Mwili wa Marehemu ukiwasili uwanjani hapa.
 ukipelekwa sehemu maalum iliyoangaliwa.

17 comments:

  1. SINA LA LUSEMA 2 SAD RIP THE GREAR

    ReplyDelete
  2. Dah Uncle Michuzi nashukuru kwa kutuhabarisha yaliyojiri maana wengine tupo maofisini ila laiti kama ungeniona ninvyoangalia picha hizi kwa masikitiko makubwa mpaka nashindwa kufanya kazi leo dah. ila shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu maana ye ndie ametoa na ndie ametwaa leo yeye kesho sisi. STAREHE KWA AMANI KANUMBA.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi tunashukuru kwa kutujuza sisi ambao hatujafika huko

    kwa kweli ni uzuni kwa taifa zima

    ReplyDelete
  4. Eeeh Kanumba wewe, sasa ndio kidogo naamini umekufa...
    Mwenyezi Mungu akulaze mahala pema peponi. Amina

    ReplyDelete
  5. hakika kazi ya Mola haina makosa. Lakini Kanumba was a real Great man.
    R.I.P ma bro

    ReplyDelete
  6. kaka asante kwa kutupa habari hata sie tuliopo ofisini!!!!!!!! Mungu ailaze roho ya kanumba peponi Amina!

    ReplyDelete
  7. Michuzi tunakushukuru sana pamoja na kwamba tuko mbali tunjisikia kuwa na waomblezaji viwaja vya leaders club.Ubarikiwe sana. Mungu aiweke roho ya marhemu Kanumba peponi amina.RIP KANUMBA THE GREAT!

    Kanindo Arusha,

    ReplyDelete
  8. Man of the people. RIP The Great, gone too soon, we will miss you

    ReplyDelete
  9. Jamani kila nikiangalia picha hizi nalia mwenyewe ofsini. i like to view but mmmh! inaniuma kupita maelezo.rest in peace Kanumba.

    ReplyDelete
  10. hajawahi kutokea ama kweli kanumba mtu wa watu

    ReplyDelete
  11. RIP steve kanumba.u have gone too soon bro

    ReplyDelete
  12. Tunshukuru hizi blog, kimsingi ni kama tupo dar, poleni sana watanzania wenzangu. Pia
    Tuonyeshe huu umoja katika kupambana kimaisha ili kumuenzi Kanumba.

    ReplyDelete
  13. May ur soul rest in peace our dear brother and be forgiven all sins.we will alwayz love you.

    ReplyDelete
  14. We will always miss you. Rest in Peace Great Kanumba.

    ReplyDelete
  15. No matter where you are....you will always be in my heart. The distance really never matters .....your love does. I will always miss you and May God the Almighty Rest your Soul in peace!!!!

    ReplyDelete
  16. R.I.P KANUMBA THE GREAT!! YOU WILL BE MISSED WITH YOUR LOVED ONES SO MUCH!! I WISH I WAS IN TANZANIA SO I CAN PAY AMY LAST RESPECT TO YOU MY DEAR!! TOO SAD!

    ReplyDelete
  17. Kanumba was a great man not only in tanzania but also around the world. I will remember u with ur movie. Kijiji cha tambua haki. RIP GREAT KANUMBA

    ReplyDelete