Tuesday, March 27, 2012

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA BUNGE YA KILIMO,MIFUGO NA MAJI TAREHE 25 MACHI – 6 APRILI, 2012

UKUMBI:  206


SIKU
TAREHE



KAZI


MHUSIKA

JUMAPILI
25/3/2012

·         WAJUMBE KUWASILI DAR-ES SALAAM

·         KATIBU WA BUNGE



JUMATATU
26/3/2012
·         Kupitia ratiba
·         Shughuli za utawala
·         Wajumbe wa Kamati

·         sekretarieti
JUMANNE
27/03/2012


·         Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kuwasilisha maudhui ya Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania ( The Tanzania Livestock Research Institute Act,2011) mbele ya Kamati na wadau
·         Kupata maoni ya Wadau
·         Wajumbe wa Kamati




·         Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi




·         Wadau
JUMATANO
28/3/2012

·         Kamati kukutana na waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kujadili Muswada na kuandaa marekebisho

·        Wajumbe wa Kamati

·        Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi




ALHAMISI
29/3/2012
·         Kamati kufanya majumisho na kutoa maoni ya Muswada wa Sheria ya Taasisi ya Utafiti wa mifugo
·        Wajumbe wa Kamati
·        Sekretarieti


IJUMAA
30/03/2012
·         Kukutana na Chama cha wasindika maziwa  Tanzania ( TAMPA)
·         Wajumbe wa Kamati.

·         TAMPA
JUMAMOSI
31/03/2012
NA JUMAPILI
01/04/2012
·         MAPUNZIKO YA MWISHO WA WIKI
·         Wajumbe wa Kamati
JUMATATU
02/04/2012
·         Kamati kukutana na Bodi ya Korosho
·         Kupata taarifa za utendaji wa bodi
·         Wajumbe wa Kamati
·         Bodi ya Korosho
JUMANNE
03/04/2012
·         Kamati kutembelea Taasisi ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI) na
Kuona utendaji wake na changamoto zake
·         Wajumbe wa Kamati
·         Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi
·         TAFIRI
JUMATANO
04/04/2012
·         Kufanya ziara kwenye chanzo cha maji Ruvu Chini
·         Wajumbe wa kamati
·         Wizara ya Maji
ALHAMISI
05/04/2012
·         Kuandaa Taarifa ya kazi za Kamati kwa mwaka 2011/2012
·         Wajumbe wa Kamati
·         Sekretarieti
IJUMAA
06/04/2012
·         MAPUMZIKO-IJUMAA KUU
·         Wajumbe wa Kamati
JUMAMOSI
07/04/2012
NA
08/04/2012
JUMAPILI
·         Wajumbe kusafiri kwenda Dodoma
·         Katibu wa Bunge
·         Wajumbe

TANBIHI:
·         Vikao vitaanza saa 3.00 asubuhi
      Mapumziko mafupi ya chai:Saa 5.00 asubu

No comments:

Post a Comment