Monday, December 19, 2011

Sherehe za kuapisha mabalozi wapya Ikulu jijini Dar es salaam leo

JK akiongea na Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa Bi Mindy Kasiga baada ya shughuli za kuapishwa mabalozi wapya leo Ikulu jijini Dar es salaam. pamoja naye ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal, Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda na Waziri Bernard Membe
 )           Bibi Grace J.E. MUJUMA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini ZAMBIA. Kabla ya hapo Bibi Mujuma alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Ushirikiano wa Kikanda (Regional Co-operation), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
 Ndugu Ali A. SALEH, ameteuliwa kuwa Balozi nchini OMAN. Kabla ya hapo Bwana Saleh alikuwa Balozi Mdogo (Consul General) nchini Dubai.
 Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchini CHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.
   Bwana Mohamed H. HAMZA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MISRI. Kabla ya hapo Bwana Hamza alikuwa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, ZANZIBARWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
 JK na uongozi wa Wizara ya mambo ya nje pamoja na Mabalozi wapya
 Balozi wetu Zambia Grace na familia yake
 JK akiwa na familia ya Balozi Batilda Burian
 JK akiwa na familia ya Dkt. Deodorus B. KAMALA ambaye ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Kabla ya hapo Mhe. Kamala alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
JK na familia ya  Dkt. Ladislaus C. KOMBA ambaye sasa ni Balozi nchini UGANDA. Kabla ya hapo Dkt. Komba alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii.
          JK na familia ya Bibi Shamim NYANDUGA ambaye ameteuliwa kuwa Balozi nchini MSUMBIJI. Kabla ya hapo Bibi Nyanduga alikuwa Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.

 Mabalozi Ali Saleh, Grace Mujuma na Shamim Nyanduga  wakifurahi kwa bashasha kabla ya kula kiapo leo
 Katibu Kiongozi Mh Philemon Luhanjo akiwapa maelekezo mabalozi wateule kabla ya kula kiapo
 Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano Wizatra ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bw. Assah Mwambene, akipata kumbukumbu kwa iPad 2 yake
 Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda akiwasalimu mabalozi wateule
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akisalimiana na Mabalozi wateule
 Muda mfupi kabla ya shughuli kuanza
       Mhe. Phillip MARMO, ameteuliwa kuwa Balozi nchini CHINA. Kabla ya hapo Mhe. Marmo alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge.
 Dkt. Batilda S. BURIAN, ameteuliwa kuwa Balozi nchini KENYA. Kabla ya hapo Mhe. Dkt. Burian alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira).
   Dkt. Deodorus B. KAMALA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini BELGIUM. Kabla ya hapo Mhe. Kamala alikuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

 Bibi Shamim NYANDUGA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini MSUMBIJI. Kabla ya hapo Bibi Nyanduga alikuwa Naibu Mkuu wa Itifaki, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
 Bibi Grace J.E. MUJUMA, ameteuliwa kuwa Balozi nchini ZAMBIA. Kabla ya hapo Bibi Mujuma alikuwa Kaimu Mkurugenzi, Ushirikiano wa Kikanda (Regional Co-operation), Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
 Ndugu Ali A. SALEH, ameteuliwa kuwa Balozi nchini OMAN. Kabla ya hapo Bwana Saleh alikuwa Balozi Mdogo (Consul General) nchini Dubai.
 JK akiwa na Uongozi wa juu wa Wizara ya ammbo ya Nje na Mabalozi baada ya kuwaapisha
 JK akiongea jambo na Mama Violet Maro
 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe akimpa shada la maua Balozi wetu Ubelgiji Mh Philip Marmo kama ishara ya kumkaribisha Wizarani
 Shada la maua kwa Dkt Batilda Burian
 Shada kwa Dkt Kamala
 Shada kwa Dkt Komba
 Shada kwa Balozi Shamim Nyanduga
 shada kwa Balozi Ali Saleh
 Mh. Membe akimpatia shada la maua Bibi Grace J.E. MUJUMA, Balozi wetu nchini ZAMBIA. 
Bibi Grace J.E. MUJUMA ambaye  ameteuliwa kuwa Balozi nchini ZAMBIA akiwa na familia yake

2 comments:

  1. Hizi sherehe zilifana sana.Ninawapongea wahusika wote na kukushukuru wewe Bw. Issa Michuzi/mirojo kutuwezesha kuona mambo mazuri huku majuu. Big UP.

    ReplyDelete
  2. mbona kulishana keki haikuwepo?

    ReplyDelete