Wednesday, November 2, 2011

libeneke la taswirazz enzi za mwalimu

















11 comments:

  1. jamani mbona hizi taswira zimetulia hivi? yaani zimekaa poa kinoma...ila sijajua kama ni wa tz, wa africa ama wa black america?

    ReplyDelete
  2. Umenikumbusha mbali sana MICHUZI. Umeomba ridhaa yao wengine wazee wetu humo

    ReplyDelete
  3. Mhh hawa ni watanzania au??
    Mbona siwaelewi?

    ReplyDelete
  4. kwa kweli nimeipenda hii, i think you should put a page for the pics like this special for the 50 yrs of tanganyika, so everybody can send pics. we would not like pics of 90's til today

    ReplyDelete
  5. Kweli zamani kulikuwa na mitindo mizuri. lakini mitindo yote naona kama inarudi tena kama hivyo vishati vya slim na visuluali vya kubana si mitindo ya kizamani kweli hakuna jipya sasa

    ReplyDelete
  6. Duh,
    Leo umenifurahisha...picha nzuriiiiii...zinarudisha kumbukumbu za miaka mingi...Ubarikiwe kwa mkusanyiko huu wa picha hizi.

    Hili ni moja ya mambo ambayo ni ya muhimu sana katika jamii yetu. Tusisahau tulikotoka...inasaidia kutujuvya huko tuendako.

    Kuna mtu aliwahi kusema kwa kimombo "if you don't review your history, you are bound to repeat it"

    Uwe na siku njema kaka.

    ReplyDelete
  7. boss vp umepata rukhsa ya kupublish picha ya 7 kwani hina kwikwi kidogo

    ReplyDelete
  8. kisha mnatusema watoto wa siku hizi tizama wototo wa zamani wakiwa beach mambo hadharani

    ReplyDelete
  9. hahaha! ankali umenivunja mbavu, hapo nimeona kitu cha pekoz, tunaomba utuwekee caption

    ReplyDelete
  10. Asante sana Ankal. Umenikumbusha mbali mimi kijana wa enzi hizo. Haule, bAGAMOYO

    ReplyDelete
  11. ni swaga za ukweli, zinatukumbusha vema years back big-up!

    ReplyDelete