Maharusi baada ya kumeremeta upya
Maharusi na wapambe wao mnusoni
Upendo uko palepale
keki ikikatwa
wakilishana keki
Maharusi na wapambe wao
Pete
wakila upya kiapo cha ndoa
Ni wakati wa picha ya pamoja na wajukuee na vilembwe
Wakifungua dansi
nawapongeza sana maharusi hao jamani mungu azidi kuwapa nguvu namiaka mingine yenye afya.ndoa ni kuvumiliana ndoa sio kukimbiana kama familia nyingi zilivyo sasa hivi,wanandoa wengi wamekosa uvumilivu, wanarushiana lawama na kuanikana siri zao.hata mkikimbiana ukweli uko palepale unakoenda unaenda kukutana na binadamu ambae ana madhaifu kama mwanadamu mwingine yeyote.kukimbia sio kutatua tatizo bali ni kuongeza tatizo tu na kumkosea mungu aliyekupa mke/mume mwema.mungu daima hakosei hivyo nawasihi wanandoa tuige mfano wa hawa wazee, kama kuna mwanandoa aliharibu kwake basi atumie nafasi hii kurekebisha.
ReplyDeleteKoment kutoka Norway Oslo, Bibi Juliana na Babu William, Tunawapongeza sana kwa kufikisha miaka 52 ya ndoa yenu. Mungu awabariki sana katika uzee wenu mwema. Sisi vijana tuna mengi ya kujifunza kutoka kwenu kama uvumilivu upendo kusameheana na mengine.
ReplyDeleteMungu awabariki sana wazazi wenu hadi machozi yamenidondoka kwa furaha.
ReplyDeleteHongereni sana Wazee, keep it up na upendo uendelee mpaka kifo kiwatenganishe.
ReplyDelete