MATUKIO @ MICHUZI BLOG

Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii

Friday, November 30, 2018

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

›
WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Sala...

Mojabet yatangaza kudhamini fainali za Bongo Star Search

›
KAMPUNI ya Mojabet inayojishughulisha na mchezo wa kubahatisha kupitia mmoja ya michezo yake ya Boompesa leo imetangaza kudhamini fainal...

BILIONI 4 KULIPWA KILA SIKU KWA WAKULIMA WA KOROSHO-MHE HASUNGA

›
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akizungumza na waandishi wa habari tarehe 29 Novemba 2018 katika Ukumbi wa Bodi ya Korosho Mjini...

SERIKALI KUWANUFAISHA WACHIMBAJI WADOGO-MAJALIWA

›
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati mizuri kuhakikisha wananchi hususani wachimbaji wadogo wadogo wananufaika na...

WAZIRI LUGOLA AWATAKA MAJAMBAZI WAJISALIMISHE PAMOJA NA SILAHA ZAO, POLISI HAWATALALA MPAKA JAMBAZI WA MWISHO AMETIWA MBARONI

›
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewataka majambazi popote walipo nchini kujisalimisha pamoja na silaha zao wakati Polisi ...

NDITIYE: TAKUKURU FUTUATILIENI UJENZI WA GATI YA BANDARI YA LINDI

›
Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye ameilekeza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufuati...

MAGAZETI YA LEO IJUMAA NOVEMBA 30,2018

›

DKT. NDUGULILE ASIKITISHWA NA UTENDAJI KAZI SEKTA YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII TANGA

›
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na watendaji wa Wilaya ya Lush...

Serikali Yaandaa Mtaala Utakaotumika Kuwanoa Wanasheria Wapya Katika Utumishi wa Umma

›
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais; Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Mick Kiliba akizungumza kwa niaba ya Katibu Mkuu wa O...

MABULA AZITAKA MAMLAKA ZINAZOHUSIKA NA MAJI PAMOJA NA UMEME KUFIKISHA HUDUMA KATIKA MJI WA SERIKALI IHUMWA JIJINI DODOMA

›
Bw.Frank Mambo,mbunifu majengo kutoka Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) akimuonyesha eneo Naibu waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya mak...

SERIKALI YA NORWAY YARIDHISHWA NA UKARABATI WA VITUO VYA KUZALISHA UMEME NCHINI

›
NAIBU Waziri wa Nishati wa tatu kutoks kushoto akiwa na Waziri wa Maendeleo ya Nchi ya Norway Nicolai Astrup wakimsikiliza kwa umakini ...
‹
›
Home
View web version

About Matukio-Michuzi

  • MICHUZI BLOG
  • Unknown
Powered by Blogger.