tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post5889281514610882591..comments2024-02-17T13:45:26.485+03:00Comments on MATUKIO @ MICHUZI BLOG: JERRY MURO MARA BAADA YA KUFUTWA KWA KESI YAKEMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger12125tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-67021554408743432122011-12-23T15:32:16.414+03:002011-12-23T15:32:16.414+03:00Hongera sana Jerry n wenzako lakini kama ambavyo u...Hongera sana Jerry n wenzako lakini kama ambavyo umeahidi go ahead nchi yetu ni nzuri ila inaharibiwa na wachache!!Nyota ya Tanzaniahttps://www.blogger.com/profile/06222480672112274978noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-90716805748958002552011-11-30T21:17:19.923+03:002011-11-30T21:17:19.923+03:00Hongera...Jerry!Hongera...Jerry!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-87107494126834049392011-11-30T19:15:46.288+03:002011-11-30T19:15:46.288+03:00Bwana Muro Hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo. Siju...Bwana Muro Hii ni Tanzania zaidi ya uijuavyo. Sijui Kova anajisikiaje. Nilitegemea Mwema akusaidie baada ya kumsaidia kufichua uozo. Du kumbe lao ni moja tu. Sasa hivi watakubambikiza kile kibiashara chao vijidawa kaa chonjo.....Ningelikuwa Rais wa nchi ningeliingia kati kwenye kesi hii. Pole kamanda!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-90621862772707082252011-11-30T18:36:00.802+03:002011-11-30T18:36:00.802+03:00hongera Jeri muro,mahakama
ujumbe kwa Viongozi na ...hongera Jeri muro,mahakama
ujumbe kwa Viongozi na walioweka
"NI RAHISI KUMWELIMISHA ASIYEJUA AKAELEWA KULIKO KUMFANYA ANAYEJUA KUTOJUA"
SIKU MOJA VIONGOZI WATAKUWA BENDERA NA SISI TUTAKUWA UPEPO;KAMA HAWAAMINI WASUBIRI KUONA KWA VITENDO:
HUKUMU HII NI FUNDISHO KWA POLISI KUWA WASITUMWE ILA WASIMAMIE HAKI BILA KUSHURUTISHWA NA YEYOTE KWA SHERIA LAZIMA IBALANSI:HII NI AIBU KUBWA KWA MBELE YA WALIPAKODI:
JE WANAWEZA KUTOA TADHMINI YA GHALAMA YA KESI YA KIPUUZI KAMA HII:
HARAFU MISHARA YAO HAITOSHEREZI;WANAISHI KWENYE MABATI

LAKINI MTAAMKA SIKU MOJA NA KUJUTA KWA NINI MNATUMIKIA WASIOTUMAINIKAmbogolohttps://www.blogger.com/profile/08561182120165088711noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-5840090485350423252011-11-30T18:26:32.983+03:002011-11-30T18:26:32.983+03:00Mungu amekujalia ndugu yangu leo hii kuwa huru, ku...Mungu amekujalia ndugu yangu leo hii kuwa huru, kuna usemi usemao "ukweli ukiwepo uongo hujitenga" na Wanaokwenda jela sio wote wahalifu na hao waliokuzulia kesi washindwe na walegee. HILI NI FUNDISHO KWA KILA ANAYEMUONEA MNYONGEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-32522713014832896272011-11-30T17:17:05.982+03:002011-11-30T17:17:05.982+03:00Safi sana! Inaonekana Tanzania sasa hivi haki inat...Safi sana! Inaonekana Tanzania sasa hivi haki inatendeka (1) Kikwete kakubali maoni ya CHADEMA kuhusu suala la Katiba, (2) Mahakama imemwachia Jerry Muro!!

This is very encouraging uncle Michuzi. Sasa kama mambo yakiendelea hivi wallahi na mimi narudi nyumbani nije nifanyie shughuli zangu za computing nyumbani.

Mdau wa Buckinghamshire.Mdau Buckinghamshirenoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-8503749301576465472011-11-30T16:54:55.469+03:002011-11-30T16:54:55.469+03:00pole kwa misuko suko Jerry, anza upya na kazi zako...pole kwa misuko suko Jerry, anza upya na kazi zako, upate mafanikio hata uwashangaze hao wenye tabia mbaya ya kuharibu maisha ya watu na future plans zako

ALL THE BEST BRO & never say never........xoxoEvelynhttps://www.blogger.com/profile/00353102795147602517noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-38182416658486748962011-11-30T16:52:09.136+03:002011-11-30T16:52:09.136+03:00Big up Jerry, Hakika penye haki daima itachelewesh...Big up Jerry, Hakika penye haki daima itacheleweshwa lakini utaipata.Big up kwa ushindi huoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-60769663719905674092011-11-30T16:49:13.542+03:002011-11-30T16:49:13.542+03:00Wow! Polisi wala rushwa walitaka kumwingiza ktk ha...Wow! Polisi wala rushwa walitaka kumwingiza ktk hatia bandia. Mungu ni mkubwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-16911433774791913932011-11-30T16:17:31.648+03:002011-11-30T16:17:31.648+03:00Hongera sana my Brother sio siri nimefurahi kupita...Hongera sana my Brother sio siri nimefurahi kupita maelezo acha sasa waangaike watafute mwingine wa kumbambikia kesi!Tanzania yetu watu chuki hawataki maendeleo ya mtu walijua utalositi sasa ndio kazi imeanza!kaza buti baba Mungu yupo pamoja nawe. Big up.Ausalnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-18470143984603612222011-11-30T16:07:18.883+03:002011-11-30T16:07:18.883+03:00haki ya mtu haipotei bali hucheleweshwa.
hongera s...haki ya mtu haipotei bali hucheleweshwa.
hongera sana kwa ushindi na hongera kwa kua na mke mwema hapo ndo pale tunasema "katika shida na raha"huyo ni mke mwema.
kamwe usikate tamaa na hicho kilikua kikwazo cha kukufanya uwe strong zaidi.

be blessed always.

linda.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-49509476279844521272011-11-30T15:52:40.216+03:002011-11-30T15:52:40.216+03:00Tunashukuru haki imetendeka, Nimefurahi sana kukuo...Tunashukuru haki imetendeka, Nimefurahi sana kukuona uko huru kaka, nakufunika kwa damu ya yesu wabaya wako wote wataaibika. Hongera sana kaishi kwa amani na mkeo bro.Anonymousnoreply@blogger.com