tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post353457263221819445..comments2024-02-17T13:45:26.485+03:00Comments on MATUKIO @ MICHUZI BLOG: NAIBU WAZIRI MASAUNI ATEMBELEA UHAMIAJI, AAGIZA MAKAMPUNI YENYE KUAJIRI WAGENI YACHUNGUZWEMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-37659195092660361022016-01-06T07:56:03.520+03:002016-01-06T07:56:03.520+03:00Duuu,kwa mwendo huu hatutaweza kufika na hii kasi ...Duuu,kwa mwendo huu hatutaweza kufika na hii kasi ya Mh.Rais ya HAPA KAZI TU,sijui kama hawa mawaziri wanaijua vizuri na nini wananchi tutegemee toka kwao.Swala la wageni kufanya kazi si la kutaka uchunguzi ufanywe na hao hao waliohusika na utoaji vibali,kwa kasi ya serekali hii ilitakiwa waziri kumwambia huyo kamishina wa uhamiaji nipatie majina ya wageni wanaofanya kazi kwa vibali,kampuni walizoajiriwa na ni kazi gani wanazofanya.Hapo ndipo angeliweza kuwajua ni wageni gani hawakusitahili kufanya kazi hapa Tanzania,hili la kila siku kuunda vikosi kazi na uchunguzi tunarudi nyuma na kupunguza kasi ya serekali ya awamu ya TanoAnonymousnoreply@blogger.com