tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post2044632445301978283..comments2024-02-17T13:45:26.485+03:00Comments on MATUKIO @ MICHUZI BLOG: MAELEZO YA MHESHIMIWA KASSIM M. MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, AKITOA UFAFANUZI NA MAJIBU YA HOJA ZA WAHESHIMIWA WABUNGE NA KUHITIMISHA HOJA YA BAJETI YA OFISI YA WAZIRI MKUU NA TAASISI ZAKE NA MFUKO WA BUNGE KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018MICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-24082390419444038292017-04-13T14:56:04.286+03:002017-04-13T14:56:04.286+03:00Nampongeza kwa dhati kabisa Mh. Majaliwa Kassim Ma...Nampongeza kwa dhati kabisa Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa Waziri Mkuu na Serikali ya Tanzania chini ya Rais wetu Mh. John Pombe Magufuli kwa kazi nzuri ambayo wameifanya kwa kipindi kifupi tu cha mwaka mmoja toka waingie madarakani, viongozi hawa wamedhamiria kwa dhati kuiongoza nchi yetu kuelekea maendeleo ya kweli ambayo yanalenga kunufaisha Wananchi wake wote na sio kikundi tu cha watu kama ilivyozoeleka kwa awamu zingine zilizopita, kwamba awamu inapoingia madarakani inajipanga na kundi lake litakalo faidi uchumi wa nchi yetu wakati wengine wakibakia watazamaji na wasindikizaji tu.<br /><br />Wito wangu watu wote wanaoitakia mema nchi yetu pamoja na mimi mwenyewe tuwaunge mkono kwa dhati Viongozi hawa, tunajua watakutana na upinzani mwingi hata ndani ya chama chao cha CCM hata baadhi ya Wabunge wao kujaribu kuleta hujuma za hapa na pale, nasema hivi HAKUNA KURUDI NYUMA WASALITI WOTE WAMULIKWE NA WAKIBAINIKA WAFUKUZWE KWENYE CHAMA MARA MOJA HAKUNA HAJA YA KUSUBIRI KUTOA MAAMUZI, HII NI VITA.Anonymousnoreply@blogger.com