Sunday, August 9, 2015

SIMU TV: HABARI MCHANGANYIKO

Maelfu ya wafuasi wa CUF wajitokeza katika ofisi za chama hicho Buguruni kumlaki Mgombea uraisi wa UKAWA bw. Edward Lowassa. http://youtu.be/sYbq3WUkHTU

Waandishi wa habari hapa nchini waaswa kuepuka habari zinazoweza kuchochoea vurugu na kupelekea kupotea kwa tunu ya amani http://youtu.be/rPb6wzoLV3s

Wahudumu wa afya Mkoani Rukwa watakiwa kutunza siri a magonjwa ili kuweza kuaminika kwa jamii na kusaidia watu wengi kujitokeza kupima afya zao. http://youtu.be/jjcVJl-jvsg

Wananchi wa kanda ya Nyandda za juu kusini watakiwa kutumia teknolojia rahisi ya usindikaji mazao ilio kuongeza thamani ya mazao yao. http://youtu.be/-2QqFaKWNG8

Sakata la uporaji wa kiwanja cha shule huko Mkoani Geita laingia sura mpya baada ya wananchi kumgomea mwekezaji kujenga mpaka pale serikali itakapo maliza mgogogro huo. http://youtu.be/72ZHQANVG-Y

Raisi Kikwete akiri kutofikia malengo ya kuboresha sekta ya kilimo kama alivyo haidi mwaka 2005 huku akibainisha changamoto zilizopo. http://youtu.be/MRa77wZ2-DE

Raisi Kikwete azindua kivuko kipya katika eneo la Msanga Mkuu na kuzindua nyumba za shirika la nyumba ya taifa : http://youtu.be/TG0QoXHemNI

Watanzania washauriwa kuchagua viongozi wazuri na waadilifu ili kuepuka ubadhilifu wa mali za uma na machafuko. http://youtu.be/WSI-NkXbhe8

Mwamko mdogo wa wananchi katika kujifunza jinsi ya kuzuia ajali ama majanga kwasemekeana kuwa chanzo kikubwa cha kushindwa zuia ajali hizo kabla ya jeshi la zimamoto kufika. http://youtu.be/KOYHnaNCQEo

Wanachama wa ccm wilaya ya Mkinga huko Tanga waandamana hadi ofisi za mkoa wakipinga matokeo ya kata zao. http://youtu.be/FldsXHpFmcI

Tume ya taifa ya uchaguzi NEC, yasisitiza kuwa hakuna wizi wowote wa kura unaoweza kutokea wakati wa uchaguzi mkuu wa mwezi October. http://youtu.be/4arHSyPjLd0

Waziri mkuu mizengo panda awataka wakuu wa mikoa nchini na wakurugenzi nchini kushirikiana na wadau wenye teknolojia mpya ya zana za kilimo ili kuwasaidia wananchi http://youtu.be/wRHaIK-IACM

Baraza kuu la uongozi wa CUF launda kamati ya watu 3 kwa lengo la kufanya kazi maalum ya kujaza nafasi zilizoachwa wazi na mwenyekiti na makamo mwenyekiti wa chama hicho. http://youtu.be/j8skcbq4PvA

Chama cha madereva nchini chatoa rai kwa serikali kutatua matatizo yao ikiwemo maboresho ya mishahara, posho na vipimo vya ujazo wa mafuta. http://youtu.be/BgO2eNsclEY

Viongozi waandamizi wa CCM mkoa wa Arusha wakihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA huku wakieleza kilicho wasibu. http://youtu.be/Heyx-8ROYIM

Bondia hatari wa Tanzania Francis Cheka,ajichimbia kujifua vilivyo kwa ajili ya kutwagana na Bondia Mwingereza.http://youtu.be/Ai5BS6utxlk

Klabu ya Arsenal yaanza ligi kuu ya Uingereza Vibaya baada ya kutandikwa mabao 2 kwa 0 na kupelekea kuondoka kichwa uwanjani. http://youtu.be/kS0C6Jnu1Lc

Kaimu naibu katibu mkuu wa CUF Jussa,atolea ufafanuzi njia iliotumika kuunda kamati ya mpito itakayo chagua mwenyekiti na makamo wake. http://youtu.be/egoM8O59wbI

No comments:

Post a Comment