tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post5218724692530905790..comments2024-02-17T13:45:26.485+03:00Comments on MATUKIO @ MICHUZI BLOG: Prof. Muhongo Aagiza kufungwa matoleo ya umwagiliajiMICHUZI BLOGhttp://www.blogger.com/profile/04130017808001951362noreply@blogger.comBlogger1125tag:blogger.com,1999:blog-3847069402804467062.post-63419705734524378052015-12-17T14:22:03.848+03:002015-12-17T14:22:03.848+03:00Kweli sehemu kubwa ya upungufu wa maji siyo tabian...Kweli sehemu kubwa ya upungufu wa maji siyo tabianchi. Na pia sehemu kubwa sio umwagiliaji pekee. Tatizo au changamoto ni matumizi ya maji yasioendelevu kwa watumiaji maji wa aina zote. Kutumia ukifirikilia hakuna mwingine chini yako au kutumia kufuatana na uwezo wa miundombinu yako bila kujali kiasi cha maji kilichopo au kinachotegemewa kuwapo ni hatari.Elimu inahitajika kwa wadau wote, lakini pia mfumo unganishi unaotambua hali ya maji na mahitaji ya kila mdau kwa vigezo vya ustawi wa jamii husika, uchumi wa nchi na mazingira tunayoyategemea ni muhimu kuwapo na kukubalika na wote na kufuatwa na kila mdau.river care initiativehttps://www.blogger.com/profile/10701208969655035579noreply@blogger.com