Sunday, January 21, 2018

MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA MARIA NYERERE NA KUTOA HESHIMA KWENYE KABURI LA BABA WA TAIFA

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa wakielekea kwenye  kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere  eneo la Mwitongo, Butiama, jana wakiongozwa na Madaraka Nyerere. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere  eneo la Mwitongo, Butiama, jana.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasha mshumaa kwenye kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere  eneo la Mwitongo, Butiama, Januari 2018. Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima na kushoto ni mkewe Naima 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea  nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. Kulia ni mkewe Mary 
  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongea  na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea  nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. Kulia ni mkewe Mary 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea  nyumbani kwake Mwitongo, Butiama Januari 20, 2018. Kulia ni mkewe Mary 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa , Mkewe Mary na Mama Maria Nyerere wakiwapungia wananchi  katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa katika uwanja wa Mwenge kijijini Butiama
 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Butiama katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mwengekijijini hapo
 Mama Maria Nyerere akiwasalimia wananchi wa Butiama katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Mwenge  kijijini hapo 
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Mwenge  katika kijiji cha Butiama 
 Wananchi wa Butiama wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa  Mwenge katika kijijini hapo 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozana na Mama Maria Nyerere kuingia kwenye  uwanja wa Mwenge  katika  mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu katika kijiji cha Butiama

No comments: