Sunday, February 26, 2017

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda amefanya ziara katika viwanda vya Bakhresa na kuangalia namna uzalishaji wa bidhaa unavyofanyika; https://youtu.be/eWtMK9LLVEA

SIMU.TV: Rais Dkt John Magufuli amemteua Omary Nundu kuwa mwenyekiti wa bodi ya kampuni ya simu Tanzania TTCL na kuwaapisha mabalozi wapya wanne; https://youtu.be/AFQBd8H9xTw

SIMU.TV: Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imetangaza kuwa jimbo la Longido liko wazi na inasubiri taarifa kutoka kwa spika wa bunge kuruhusu mchakato wa uchaguzi; https://youtu.be/cu2o8HcWogY

SIMU.TV: Baadhi ya wakulima wilayani Chamwino mkoani Dodoma wamelazimika kurudia kupanda tena mbegu za mazao baada ya kupanda mbegu mbovu hapo awali; https://youtu.be/sryrP23v9qc

SIMU.TV: Mamlaka ya chakula na dawa TFDA kanda ya ziwa imekamata shehena ya vipodozi vilivyopigwa marufuku vyenye thamani ya zaidi shilingi Milioni 30; https://youtu.be/2QAg4GLfONo

SIMU.TV: Madiwani wa halmashauri ya Iringa wamemtaka mkurugenzi wa halmashauri hiyo kutaja sababu za kucheleweshwa kwa machinjio ya kisasa; https://youtu.be/CMnH0BP1I4E

SIMU.TV: Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Alli Hapi amemuagiza mkandarasi wa wilaya hiyo kuhakikisha ujenzi wa vyoo vya kisasa katika shule zote; https://youtu.be/kalJCBK8u0I

SIMU.TV: Naibu waziri wa habari Anastazia Wambura amewataka wanawake wilayani Nanjumbu kuhakikisha wanajituma kujiletea maendeleo; https://youtu.be/o2731P08z-s

SIMU.TV: Wanariadha kutoka nchini Kenya wameendelea kufanya vyema kunako mashindano ya Kilimanjaro Marathon na haya ni matokeo yake kwa ujumla; https://youtu.be/0wbGEdgCdvQ

SIMU.TV: Shirikisho la mpira wa miguu TFF limemmwagia sifa mwamuzi Mathew Akrama baada ya kuumudu vyema mchezo wa Simba na Yanga siku ya jana; https://youtu.be/qzM6S4aggnI

SIMU.TV: Ligi kuu ya Uingereza imeendelea kutimua vumbi lake hii leo baada ya kuwashuhudia Tottenham Hotspurs wakiwaburuza Stoke City kwa mabao 4-0; https://youtu.be/IgoOMMjnCeg

No comments: