Saturday, December 3, 2016

HABARI MBALI MBALI KUTOKA TELEVISHENI



SIMU.TV: Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameitaka idara ya uhamiaji nchini kudhibiti kwa uhakika wahamiaji haramu nchini; https://youtu.be/PGP6JbSVzSk

SIMU.TV: Siku chache baada ya agizo la Rais Magufuli kupiga marufuku uagizaji wa sare za jeshi kutoka kwa watu binafsi, wizara husika zimeanza kuchukua hatua kudhibiti biashara hiyo; https://youtu.be/P_3z1pxdzMU

SIMU.TV: Serikali imetaifisha tani tano za samaki aina ya Sangara waliokamatwa baada ya kuvuliwa kinyume cha sheria huko mkoani Mwanza; https://youtu.be/hGSOK_QDTOY

SIMU.TV: Uongozi wa wilaya ya Morogoro umewataka wafugaji wanaolisha mifugo yao katika shamba la Mkulazi kuondoka katika eneo hilo kupisha uwekezaji; https://youtu.be/2P8VQMfpliE

SIMU.TV: Wizara ya Afya kupitia bodi ya maabara binafsi imezitaka kufungiwa kwa maabara bubu zilizozagaa mkoani Geita ambazo zinaendeshwa kinyume na sheria; https://youtu.be/uVs47Jve0_w

SIMU.TV: Mabadiliko yaliyofanywa katika Bandari ya Dar Es salaam yamechangia kuboresha utendaji wa bandari hiyo tofauti na hali ilivyokuwa hapo awali; https://youtu.be/9XR7OIIa-BU  

SIMU.TV: Tanzania imezidi kubarikiwa kuwa rasilimali nyingi baada ya gesi nyingine kugunduliwa katika eneo la Ruvu mkoani Pwani; https://youtu.be/mjHKTjL3mQQ  

SIMU.TV: Benki ya Covenant imeanzisha huduma ya bima kwa wavuvi itakayowawezesha wavuvi kupatiwa matibabu familia zao pamoja na usalama wa vifaa vyao; https://youtu.be/5xCQeASzTjY

SIMU.TV: Wamiliki wa viwanda kwa mikoa ya Kilimanjaro na Arusha wameiomba TRA kuweka mfumo utakaorahisisha upitishaji wa mizigo bandarini na mipakani; https://youtu.be/yT2bSRTYIh4

SIMU.TV: Meneja mkuu wa bima ya maisha ya nchini Wilson Mzava amesema kuna umuhimu wa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na umuhimu wa kuwa na bima za maisha; https://youtu.be/w-nH8i-AjyI  

SIMU.TV: Klabu ya Yanga imeruhusiwa kuutumia uwanja wa Taifa na ule wa Uhuru kwa michezo yake ya kimataifa na kitaifa baada ya kuingia mkataba na serikali; https://youtu.be/SdBZJxIUsmU

SIMU.TV: Baraza la wadhamini la klabu ya Simba limepinga mkutano mkuu wa dharura uliopangwa kufanyika Jumamosi ili kufanya mabadiliko ya katiba; https://youtu.be/Nq3mjsf0MPs

SIMU.TV: Timu ya Mbao Fc imepata udhamini wa shilingi milioni 25 kutoka kwa kampuni inayojishughulisha na usambazaji bidhaa za maziwa kama Cowbell ili kukuza soka nchini; https://youtu.be/B1Oo6c1wibA

SIMU.TV: Tamasha la utamaduni wa asili limepangwa kufanyika Jumamosi hii katika uwanja wa taifa kwa kushirikisha ngoma kutoka makabila mbalimbali; https://youtu.be/kwIM4NhO9IQ

No comments: