Saturday, October 15, 2016

Viongozi wa Umma watakiwa kuwa na maadili mema ili kumuenzi Mwali Julius Kambarage Nyerere

kig1
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akimpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe. Phillip Mangula mara baada ya kuwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).Kutoka kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Shadrack Mwakalila, Mwenyekiti wa Kongamano hilo ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri msaafu Mhe. Anne Makinda.
kig2
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku akiwasilisha mada kuhusu Miiko ya Uongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
kig3
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mhe. Phillip Mangula akiwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
kig4
Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma akiwasilisha mada kuhusu Maadili ya Viongozi wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
kig5
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere wakifuatilia mada kutoka kwa wawasilishaji ambao ni Mhe. Phillip Mangula, Joseph Butiku, Ibrahim Kaduma na Dkt. Harun Kondo, mada zilizowasilisha ni pamoja na Miiko ya Uongozi, Azimio la Arusha na Maadili ya Viongozi.
kig6
kig7
Mchumi Mwandamizi Profesa Ibrahim Lipumba akichangia mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
kig8
Mhadhiri wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Stella Marios cha Mtwara Padre, Dkt. Charles Kitima  akichangia mada wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
kig9
Watoa mada wakinukuu michango ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM – Bara, Mhe Phillip Mangula, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, Balozi mstaafu Ibrahim Kaduma na Mwanasiasa Mkongwe Mhe. Wilson Mkama.
kig10
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere wakiangalia baadhi ya maandiko na machapisho aliyoandika Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere enzi za uhai wake yanayochapishwa na Mkuki na Nyota Publisher leo Jijini Dar es Salaam wakati wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA). Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni kumbukumbu za miaka 17 tangu Baba wa Taifa Mwl. Nyerere afariki dunia.
kig11
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Mhandisi Stella Manyanya akiteta jambo na mmoja wa washiriki wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA).Naibu Waziri huyo ndiye alikuwa mgeni rasmi katika Kongamano hilo. Lililokuwa limebeba nukuu ya Mwalimu Nyerere isemayo “Viongozi ni lazima wawe mfano mzuri kwa wananchi kwa maisha yao na vitendo vyao pia”.
kig13
Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa Kongamano la Maadhimisho ya Kumbukizi za Mwalimu Julius Nyerere lililofanyika leo Jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere(MNMA) akiagana na washiriki.

Picha na. Frank Shija, MAELEZO.

No comments: