Tuesday, October 18, 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI PROF. ELISANTE OLE GABRIEL AFUNGUA MAONYESHO YA UCHORAJI YA UTAMADUNI WA ITALIA



Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni(kulia) akiwahutubia wageni waalikwa wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) pamoja na Balozi wa Italia, Mhe. Roberto Mengoni wakijadiliana jambo mara baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa pamoja na watendajji wa Serikali wakifuatilia hotuba za Viongozi wakati wa Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akiangalia michoro mbalimbali ya picha za kiutamaduni wa Italia baada ya Ufunguzi wa Maonyesho ya Uchoraji picha za Utamaduni wa Italia 17 Oktoba, 2016 Jijini Dar es Salaam. (Picha zote na Benedict Liwenga-WHUSM)

No comments: