Sunday, August 14, 2016

MAKUNDI 10 YATINGA ROBO FAINALI YA DANCE 100% 2016 CHINI YA UDHAMINI WA VODACOM TANZANIA

 Kundi la DDI Crew la jijini Dar es wakionyesha umahiri wao wakati wa shindano la  robo fainali la Dance 100% 2016  lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini,Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

 Vijana wanaounda kundi la Mazabe Crew la jijini Dar es wakifanya mambo yao wakati wa shindano la  robo fainali la Dance 100% 2016  lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini, Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

 Kikundi cha The Guest Crew la jijini Dar es Salaam, wakionyesha umahiri wao  kusakata dance wakati wa shindano la  robo fainali la Dance 100% 2016  lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki

 TIMU MAKOROKORO: Kundi la timu Makorokoro  Boys la jijini Dar es salaam, wakionyesha umahiri wao wa kusakata dance wakati wa shindano la  robo fainali la Dance 100% 2016  lililofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

 Kundi la J COmbaty la Zanzibar wakikonga nyoyo za mashabiki wakati wa robo fainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam . Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

 Kundi la Wazawa Crew la jijini Dar es Salaam,wakifanya manjonjo yao ya kudansi wakati robo fainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam. Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

 Kundi la Clever Boys la jijini Dar es Salaam, wakikonga nyoyo za mashabiki wakati robofainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam . Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania.Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

 TCW: Vijana wanaunda  kundi la TCW Crews la jijini Dar es Salaam, wakikonga nyoyo za mashabiki wakati robofainali ya shindano la Dance100%2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam, Shindano hilo limeandaliwa na EATV na kudhanimiwa na Vodacom Tanzania,Jumla ya makaundi 10 kati ya 13 yalifanikiwa kuingia katika  hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja hivyo mwishoni mwa wiki.

Mashabiki wa kudansi wakifuatilia  mchuano mkali wa shindano la robo fainali ya Dance 100% 2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam,Uliokutanisha makundi 13 na kumenyana na makundi 10 kuingia hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay wiki ijayo chini ya Vodacom Tanzania na EATV.
Baadhi  ya mashabiki wa kudansi wakifuatilia  mchuano mkali wa shindano la robo fainali ya Dance 100% 2016 katika viwanja vya Don bosco jijini Dar es Salaam,Uliokutanisha makundi 13 na kumenyana na makundi 10 kuingia hatua ya nusu fainali itakayofanyika katika viwanja vya Don bosco Oysterbay wiki ijayo chini ya Vodacom Tanzania na EATV.

No comments: