Monday, July 11, 2016

ZAWADI GANI NZURI ILINGANE NA UPENDO WA MAMA?


asante mama kwa kuniweka tumboni mwako miezi 9 

nikanyonya maziwa yako miaka 2 sina cha kukulipa kwa malezi uliyonilea na kunifundisha kazi mbalimbali zikiwemo za nyumbani na kua na heshima kwa jamii na kutokua na tabia ya udokozi na sasa nafurahia matunda ya riziki ya halali niipatayo ambayo mungu anaendelea kunizjaalia , zaidi nakukuombea maisha marefu mungu awe nasi, mama 
yangu Mariam Khamisi nakutakia maisha yenye baraka tele. 
(picha na Mmiliki wa ujijirahaa blog)

No comments: