Saturday, June 4, 2016

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DK. JULIANA PALLANGYO AFANYA ZIARA KATIKA KAMPUNI YA PUMA ENERGY

 Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo  ya Petroli Nchini  James Andelile,(kulia) akielezea  jambo katika kikao hicho. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati  Dk. Juliana Pallangyo
 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati,  Dk. Juliana Pallangyo (kushoto) akiwa ameambatana na  Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Serikali  wa Uagizaji wa Mafuta ya Pamoja (PBPA),Michael Mjinja (kulia) mara alipowasili katika ofisi za Puma  Energy jijini  Dar es Salaam kwa ajili ya kukagua shughuli zake.
 Meneja  Afya, Usalama na Mazingira  kutoka katika kampuni ya  Puma  Energy Blasio Menchi (kulia) akielezea shughuli za kampuni hiyo mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati,  Dk. Juliana Pallangyo pamoja na ujumbe wake.
 Kutoka kushoto Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati  Dk. Juliana Pallangyo, Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo  ya Petroli Nchini  James Andelile, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Serikali  wa Uagizaji wa Mafuta ya Pamoja (PBPA),Michael Mjinja,na  Kaimu Kamishna wa Petroli ambaye pia ni Mjumbe wa Bodi ya   Wakurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Mwanamani Kidaya wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Meneja  Afya, Usalama na Mazingira  kutoka katika kampuni ya  Puma  Energy Blasio Menchi (hayupo pichani) kwenye ofisi za Puma Energy jijini Dar es Salaam.
 Meneja Uendeshaji  kutoka   Kampuni ya  Puma  Energy Lameck Hiliyai (katikati)  akielekeza  jambo kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati  Dk. Juliana Pallangyo (kushoto) Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo  ya Petroli Nchini  James Andelile (aliyekaa katikati) na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Serikali  wa Uagizaji wa Mafuta ya Pamoja (PBPA),Michael Mjinja (kulia) katika kikao hicho kwenye ofisi za Puma Energy jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati  Dk. Juliana Pallangyo (kushoto) na Kaimu Kamishna wa Nishati na Maendeleo  ya Petroli Nchini  James Andelile (kulia) wakibadilishana mawazo katika  kikao hicho.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia Nishati Dk. Juliana Pallangyo akitoa maelekezo kwa kampuni ya Puma Energy katika kikao hicho

No comments: