Sunday, May 8, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI

SIMU.TV: Rais Dkt John Magufuli amesema hatua za kinidhamu zinazochukuliwa dhidi ya watumishi wa serikali zisitafsiriwe vibaya kama unyanyasaji kwa watumishi hao;https://youtu.be/9wJvDe7ES6c

SIMU.TV: Mamlaka ya mapato mkoani Lindi TRA yagawa mifuko zaidi ya elfu tano kwa taasisi mbalimbali baada ya kukamatwa zikiingizwa nchini kinyemela;https://youtu.be/VpISX9D7vk0

 SIMU.TV: Tani 45 za sukari zilizokamatwa mkoani Arusha toka kwa mfanyabiashara Karim Dakiki zimegawiwa kwa watendaji wa kata mbalimbali kama sehemu ya kutimiza agizo la mh rais Magufuli; https://youtu.be/LQOCVMp1nkI
  
SIMU.TV: Wananchi na wafanyabiashara wa sukari nchini watoa maoni yao juu ya kuadimika kwa bidhaa ya sukari nchini; https://youtu.be/zGy0hHGA_mg

SIMU.TV: Wananchi wilayani Misenyi Mkoani Kagera walalamikia ubadhirifu wa fedha kwa baadhi ya kata na kusababisha kudorora kwa shughuli mnalimbali za kimaendeleo;https://youtu.be/K_i4XOuNiJw
  
SIMU.TV: Umoja wanawake nchini waadhimisha siku ya akina mama dunia kwa kuchangia damu huko mkoani Ddodoma; https://youtu.be/_YTF544avac
  
SIMU.TV: Klabu ya soka ya Yanga yatetea ubingwa wake wa ligi kuu Tanzania bara kama Leicester City ya Uingereza kwa baada ya watani wao wa jadi Simba kukubali kichapo cha goli moja toka mwadui; https://youtu.be/oHgLLl-LVKQ

 SIMU.TV: Tumaini Media yazindua tamasha maalumu la nyimbo za Injili na program ya malezi kwa watoto ili kuhakikisha watoto wetu wanakua katika malezi bora;https://youtu.be/t9rQxG_efws
  
SIMU.TV: Timu ya soka ya Leicester City yakabidhiwa rasmi kikombe chao cha ligi kuu nchini Uingereza hapo jana baada kufanikiwa kuwa mabingwa mwaka huu;https://youtu.be/9wJvDe7ES6c

SIMU.TV: Watu watano wamefariki dunia wilayani Rungwe  baada ya nyumba waliokua wakiishi kuangukiwa na udongo ulioifunika nyumba hiyo kutokana na mlima kukatika kutokana na mvua iliokua ikinyesha. https://youtu.be/w1w8lCIwbZo
  
SIMU.TV: Mamlaka ya mapato TRA mkoani Lindi imegawa sukari iliokamatwa ikiingizwa nchini kwa njia ya magendo baada ya TFDA kuthibisha kuwa ni salama kwa matumizi ya binadamu. https://youtu.be/BRsre2ZJxNk

SIMU.TV: Baadhi ya wafugaji wanaopakana na pori la hifadhi la kampuni ya Mwiba wameingiza idadi kubwa ya mifugo kwenye hifadhi hiyo jambo ambalo linahatarisha usalama wa hifadhi hiyo. https://youtu.be/bmEbBkzlsco

SIMU.TV: Waziri mkuu mstaafu wa Jamhuiri ya Muungano ya Tanzania Edward Lowassa ameiasa jamii kuwekeza kwenye elimu hasa kwa watoto wa kike.https://youtu.be/ePWYvV8oMxQ

SIMU.TV: Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amewaasa watanzania kuendelea kuiombea nchi yao ili kazi anayoifanya ya kuijenga Tanzania bora iweze kufanikiwa.https://youtu.be/JXnp5zp8QQM

SIMU.TV: Marais wastaafu wa Tanzania Benjamini Mkapa na Ally Hassan Mwinyi wamesaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi kufuatia kifo cha rais wa zamani wanchi hiyo. https://youtu.be/bf6G6ztds5A 
  
SIMU.TV: Chama cha ADC kimewafukuza na kuwavua uongozi viongozi wanne wa juu wa chama hicho akiwemo mwenyekiti wake Saidi Miraji na kumchagua Hamad Rashid kuwa mwenyekiti mpya. https://youtu.be/ugNkNFVSi-I

SIMU.TV: Taasisi ya kiislamu ya ANAHA ikishirikiana na taasisisi ya kimataifa imeendesha mafunzo ya ujasiriamali yaliyolenga kusaidia jamii.https://youtu.be/nJUyGgk0DBE
  
SIMU.TV: Madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Ilala wamepinga sharti la mkurugenzi wa manispaa hiyo la kuwaondoa wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama machinga eneo la Kariakoo. https://youtu.be/xvEqi9QzSsE  

 SIMU.TV: Tanzania imeadhimisha siku ya mama dunia na kutoa wito kwa akina mama kuhakikisha wanakua nguzo muhimu katika kusimamia malezi ya watoto.https://youtu.be/8s3-gHJvANY

 SIMU.TV: Timu ya Simba imewaachia watani wake wa jadi Yanga kuuchukua ubingwa wa ligi kuu baada ya kukubali kichapo cha bao moja kwa bila kutoka kwa Mwadui Fc Ya shinyanga. https://youtu.be/LTV9YMowtNo  
  
SIMU.TV: Wanafunzi wa Kata ya Nyankumbu wilaya ya Geita wamewaomba wazazi wao wawache watoto waonyeshe vipaji vya kimichezo walivyo navyo.https://youtu.be/8KTn4Rym4ww

SIMU.TV: Mwanamuziki wa Marekani Neyo anatarajia kuwasili nchini mwezi huu kwa mwaliko wa kampuni ya mawasiliano ya Vodacom wakishirikiana na Jembe Limited.https://youtu.be/ThqwarniLS8

SIMU.TV: Baada ya kupoteza matumaini ya kutoa ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza Tottenham wamejikuta wakipata tena matokeo mabaya baada ya kufungwa na klabu ya Southampton https://youtu.be/k1eFv17VYoI

No comments: