Saturday, April 23, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI


SIMU.TV: Maafisa mipango na wachumi wa halmashauri za wilaya watakaoshindwa kusimamia miradi ya maendeleo ya serikali kukiona cha mtema kuni;https://youtu.be/FVj2bwoMnzA 
 SIMU.TV: Serikali mkoani Iringa yabaini watumishi wengine hewa 27 kufuatia awamu ya pili ya uhakiki wa watumishi hewa na watoro waliosababishia serikali asara ya mil.237.https://youtu.be/bZ6KWOX387Y
 SIMU.TV: Makamu wa rais mstaafu Mh. Bilali ataka miradi ya ujasiliamali zinazofanywa na  akinamama wa jamii ya kifugaji ziendelezwe;  https://youtu.be/EUx1aa5lhHg
 SIMU.TV: Waziri Nape Nauye awataka Watanzania kuendelea kumuombea rais Magufuli na viongozi wengine ili waendeleze mapambano dhidi ya rushwa;https://youtu.be/kLoOU7yRMg4
 SIMU.TV: Balozi John Kijazi amesema viongozi wa dini wana wajibu wa kujenga na kuendeleza maadili mema kwa waumini wao ili kuweza kujenga jamii yenye maadili;
 SIMU.TV: Sakata la kijana Adbul kulishwa sumu na muajiri wake lachukua sura mpya baada ya mganga mkuu Kinondoni kubaini mgonjwa huyo kutibiwa bila nyaraka yoyote.https://youtu.be/Oy0N5x047V0
 SIMU.TV: Timu ya Mwadui ya Shinyanga yaitunishia misuli Azam FC katika pambano litakalofanyika siku ya kesho; https://youtu.be/Bu8CQJYuRMQ
 SIMU.TV: Wapenzi wa timu ya Yanga na Coastal Union watambiana kuibuka kidedea katika mchezo utakaosakatwa katika uwanja wa Mkwakwani;https://youtu.be/lGU69Pe9CwE 
 SIMU.TV: Mashindano ya NBA junior League yameingia katika mzunguko wa pili huku makocha wakieleza kuwa michuano hiyo itainua vipaji vingi; https://youtu.be/anqUNcuLaOU
 SIMU.TV: Watu wawili mkoani  Geita  wamekatwa mapanga mwili mzima kutokana na imani za kishirikina zilizokithiri mkoani humo; https://youtu.be/b_gQfWra7h0
 SIMU.TV: Serikali imewataka  watanzania kuendelea kuwa wavumilivu katika kipindi hiki ambacho serikali inaendelea  kupambana na mafisadi:https://youtu.be/_k8TPAb2Ckk
 SIMU.TV: Halmashauri ya manispaa ya Iringa inakabiliwa na changamoto kubwa ya uhaba wa vifaa vya kuzolea takataka: https://youtu.be/GvqEmkUWOJA
 SIMU.TV: Watanzania wameshauriwa kuwa na tabia ya kufanya mazoezi  kila siku ili kuepuka magonjwa yanayosababishwa na uzito kupita kiasi: https://youtu.be/X-_haftf_Uo
 SIMU.TV: Shirikisho la soka la mpira wa miguu TFF, limeipandisha daraja timu ya Mbao Fc katika ligi kuu ya Vodacom na kuzishusha daraja timu nne:https://youtu.be/STIBrRUny8o
 SIMU.TV: Michuano ya vyuo vikuu imeendelea kupamba moto baina ya timu ya NIT na IFM na timu ya IFM imeonekana  kucheza vizuri: https://youtu.be/XlG_f-5T3MM
 SIMU.TV: Taasisi na wananchi mbalimbali Zanzibar wameendelea kutoa misaada kwa waathirika wa mafuriko waliohifadhiwa katika kambi maalumu.https://youtu.be/dq15D6dE23A
 SIMU.TV: Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu katika kambi mbalimbali Zanzibar yazidi kuongezeka huku wananchi wakiaswa kufuata kanuni za afyahttps://youtu.be/icton1isAUA
 SIMU.TV: Walimu wa skuli zilizomo katika mkoa wa mjini Magharibi wametakiwa kudumisha usafi katika skuli zao ili kujikinga na kipindupindu.https://youtu.be/Q3TJQKM5FN4
 SIMU.TV: Beki wa Liverpool Mamadou Sakho achunguzwa na UEFA kwa tuhuma za kufeli ukaguzi wa dawa za kulevya. https://youtu.be/ovqLtH8M6NU

No comments: