Friday, April 15, 2016

MKUTANO WA WADAU WA MADINI WAAHIRISHWA KWA KUKOSA WADAU MUHIMU WA NISHATI NA MADINI LEO

Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Mwenyekiti wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe (kulia) akiongea jambo kabla ya kuahirishwa kwa mkutano huo. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Mkutano huo wa muda, Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taaluma Prof Florence Luoga (katikati) na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja. 
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Muda umekwisha, Yamkini Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja alikuwa akijiridhisha muda ili kujipanga kwa ratiba nyingine baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. 
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Taaluma Prof Florence Luoga (kulia) akibadilishana mawazo na Naibu Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (katikati) na Afisa Fedha Mkuu wa kampuni hiyo, Andrew Wray kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Naibu Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akifurahia jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Eliakim Maswi baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini ulikuwa ufanyike kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini.Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa NDC (Mstaafu) Gideon Nasari.
Naibu Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika (kushoto) akifurahia jambo na Katibu Tawala Mkoa wa Manyara Eliakim Maswi baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini ulikuwa ufanyike kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Naibu Rais wa Kampuni ya Acacia, Deo Mwanyika akiongea na waandishi wa habari baada ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini ulikuwa ufanyike kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspots)
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakibadilishana mawazo walipokuwa wanasubiri kuanza kwa mkutano ambao hata hivyo ulioahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja (kushoto) akibadilishana mawazo na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Taaluma, Prof Florence Luoga kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwakutoka na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Mwenyekiti wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe (kushoto) akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwakutoka na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakiwa tayari kwa mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Baadhi ya wadau wa madini wakibadilishana mawazo kabla ya mkutano ulio ahirishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 
Mwenyekiti wa Umoja wa wafanyakazi wa Migodi na Viwanda (TMCE), Balozi Ami Mpungwe (kulia) akibadilishana mawazo na Mtendaji Mkuu wa Uongozi Institute, Profesa Joseph Semboja kabla ya kuahirishwa kwa mkutano wa wadau wa madini uliofanyika kwenye ukumbi wa Kimtaifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam leo. Mkutano huo uliharishwa kutokana na kutofika kwa wadau muhimu kutoka Wizara ya Nishati na Madini. 

No comments: